sikukuu ya Idd Kitaifa Inafanyikia Kilimanjaro! Xmass Kitaifa Itafanyikia Mkoa Gani?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Wakuu leo asubuhi redioni nimesikia sikukuu ya Idd kitaifa kesho tarehe 26 itafanyikia mkoani Kilimanjaro na mgeni rasmi atakua ni Waziri mkuu Kassim Majaliwa, je sikukuu ya Christmas tarehe 25 December mwaka huu kimkoa itafanyikia Mkoa gani?

Nawatakia sikukuu njema ya Idd!
 
We naona una lako jambo unataka kuliibua hapa. Leo tarehe 25 june unaulizia Misa ya Xmas december 25th itafanyika wapi? Unataka ukalipue kanisa nini? Hiyo ya kesho tarehe 26 imetangazwa jana cjui leo.
 
Msinihukumu bure jamani, bali kila mwaka sikukuu ya Idd inafanyika kitaifa kwenye mkoa fulani, je hizi sikukuu nyingine kama Pasaka na XMas kitaifa sijawahi kusikia zinafanyikia wapi wala hata kusikia mgeni rasmi ni kiongozi gani!
 
Wakuu leo asubuhi redioni nimesikia sikukuu ya Idd kitaifa kesho tarehe 26 itafanyikia mkoani Kilimanjaro na mgeni rasmi atakua ni Waziri mkuu Kassim Majaliwa, je sikukuu ya Christmas tarehe 25 December mwaka huu kimkoa itafanyikia Mkoa gani?

Nawatakia sikukuu njema ya Idd!
Dunia Nzima.
 
Msinihukumu bure jamani, bali kila mwaka sikukuu ya Idd inafanyika kitaifa kwenye mkoa fulani, je hizi sikukuu nyingine kama Pasaka na XMas kitaifa sijawahi kusikia zinafanyikia wapi wala hata kusikia mgeni rasmi ni kiongozi gani!
Kibiti -pwani
 
Hakuna utara tibu uliowekwa kwa sikukuu za Kikristo kufanyika kitaifa.Wakristo wote husali ktk mikoa yao husika .Hata ibaada ya ikifanyika kitaifa mkoa fulani hakuna viongozi wakuu wanaokwenda mkoa ule kwa ajili ya ibaada.Hii ni tofauti na wenzetu.
 
Back
Top Bottom