Sikukuu ya Idd 2011 lini?

menyidyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
1,339
194
Jamani karatiba kanataka kuvurugika kama nitakosea kujua idd ln! je idd ni jumanne au jumatano?
 
juma 4 au juma 5 .. kwanini usimuulize imam wa msikiti ulio karibu na wewe.. hapa JF watakuzingua kama upo serious
 
Izi sherehe jamani tunashindwa ata kujipanga!
Kheri uandame kesho ili tuwe na uhakika kwa jtano kuwa siku kuu
 
ndugu kama ni kesho ndo itakuwa dili mara kumi zaidi. so fununu nisubiri hiyo ya muscat?
 
ndugu kama ni kesho ndo itakuwa dili mara kumi zaidi. so fununu nisubiri hiyo ya muscat?
<br />
<br />

Mwambie huyo mchumba asubiri kidogo. J5 sio mbali. Kama amevumilia siku 28, asipagawiswe na siku ya 29. J5 hata usipoandama, idd lazima! Au wewe ndiye uliyezidiwa mkuu!?
 
idd imeahirishwa mpaka mwakani,


nasikia itakua j5. Kama kuna chochote tutaendelea kujulishana.
 
nimesikia mwezi umeonekana malasia na imetangazwa na radio iman kama sikosei!
 
kwa mujibu wa redio iman 104.4 fm eid ni kesho, kuna baadhi ya watu wanasema ati hawa ni wale wanaowahi (ansar). Sijui kuhusu bakwata????
 
kaka mialiko ya nn wakati mm ndo hualikaga! so kesho hakuna kazi eeeh!
 
Sikuku za bahati nasibu,wengine kesho wengi keshokutwa ili mladi tu kubahatisha.
 
Back
Top Bottom