Sikukuu ya Idd 2011 lini?

Ustaadhi sio mimi bwana mimi nimekushauri tu baada ya kuona ume-assume. Mtume alikataza hii habari ya ku-assume hata kama mazingira yanaonesha 99% kile udhaniacho ni kweli. Kwa mfano kuna moja ya vita wakati makuraishi wamewavamia waislamu (sikumbuki ni ipi) kuna kafiri mmoja wakiwa katikati ya mapambano akiwa ameshazidiwa na ikiwa wazi kabisa kuwa sasa anamalizwa akatamka shahada. Licha ya hivyo Omar(r.a) hakumuacha, akamuua na shahada yake, mtume akamuuliza kwa nini umemuua mtu aliyeamini? Omar akasema huyu katamka kwa kuogopa kufa tu haikutoka moyoni. Mtume akamwambia Omar, umefungua kifua chake ukaona yaliyomo? Utaona kuwa somo tunalopata kwenye hili ni kuto-assume. Jitahidi sana usi-assume no matter what. Labda kama angetukana moja kwa moja.

Aisee nimekuelewa mno japo sikuwa mlengwa
 
Shukran Jazeelan al akhi..... umenizindua ... ndo maana tukaitwa umati bora... hii ni zawadi tulio pewa na hawakujaaliwa nyumati zingine.. Allah akupafanyie wepesi katika mambo yako Allahu ameen
 
Nimesikia answar waki azin "allaaah akbar allaaah akbarrrrr allaaah akbarrr" kuashiria kesho iddi....so hakuna kazi kesho,j4 na j5 full bata long week end.
 
Back
Top Bottom