Sikukuu ya Idd 2011 lini?

Muulize imamu wako kama kweli wewe ni muislam,,, sana sana wewe ni wale walevi wao mawazo yao ni ambiance tu... dini si yako idd ya nini?
 
samahani.. nilidhani una lengo la kunitukania Mola wangu kama kawaida humu JF
Ustaadhi sio mimi bwana mimi nimekushauri tu baada ya kuona ume-assume. Mtume alikataza hii habari ya ku-assume hata kama mazingira yanaonesha 99% kile udhaniacho ni kweli. Kwa mfano kuna moja ya vita wakati makuraishi wamewavamia waislamu (sikumbuki ni ipi) kuna kafiri mmoja wakiwa katikati ya mapambano akiwa ameshazidiwa na ikiwa wazi kabisa kuwa sasa anamalizwa akatamka shahada. Licha ya hivyo Omar(r.a) hakumuacha, akamuua na shahada yake, mtume akamuuliza kwa nini umemuua mtu aliyeamini? Omar akasema huyu katamka kwa kuogopa kufa tu haikutoka moyoni. Mtume akamwambia Omar, umefungua kifua chake ukaona yaliyomo? Utaona kuwa somo tunalopata kwenye hili ni kuto-assume. Jitahidi sana usi-assume no matter what. Labda kama angetukana moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom