Sikukuu ya Idd 2011 lini?

sasa mara eti mamlaka ya malasia imekana, wengine saudi eti wameuona, wengine eti wameuona pemba. wengine mtwara. cha maana fanyeni mpango idd iwe kesho. naona hawa masheik dar wanaleta kauzibe.
 
attachment.php
 
Could it be 1-2 Aug or 2—3 Aug? Thanks.

Leo ni Mwezi 25 na wengine ni Mwezi 26 Ramadhani! Yaani siku ya au tarehe ya 25 au (26 kwa waliotangulia kufunga). Kwa kuwa mwezi wa kiislam hutegemea kuandama kwa mwezi na kwa kuwa mwezi wa kiislam hauna siku 28 na siku 31, bali una siku 29 na 30 tu, hivyo siku ya mwisho ambayo ni maximum kwa wale waliochelewa kufunga ni siku tano(5) tu kutoka leo, hivyo Tarehe 28 ndo siku ya juu kabisa ya mwisho kufunga Ramadhan ya mwaka huu, hivyo tarehe 28/07/2014 ni mwisho kabisa yaani Ramadhan 30 kwa waliochelewa kufunga na waliowahi kufunga inakuwa ni Mfungo Mosi -Rab al.Awwal( mwezi wa Eid el Fitri, mwezi baada ya Ramadhan). Na hivyo Eid ni 29/07/2014. Inaweza kutokea waliochelewa mwez ukaonekana siku.ya 29 kwao na kwa walionza ikawa ni siku.ya 30 kwao, hivyo Eid el Fitri itakuwa ni 28/7/2014!
 
wanajanvi mimi nauliza hii idi ni lini kati ya ijummaapili.ijumaatatu au ijumaa nne

thanks
 
Back
Top Bottom