Sikukuu Jf kumepooza namna hii........

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Watu pipoooooooo hamna hata laptop mkaingia kutoa matukio ya mitaani Idd inakwendaje najua ni mengi tu

Panaboa kama na kesho hali itakuwa hivi itabidi Mod . waifunge JF kidogo kwa mapumziko

Karibuni kwangu tusherekee Eid ...
 
FL1 unadhani na sie tuna ziara kama za mzee wako
Tupo tunakula kuku JF ya nini na sikukuu yote
uwe na sikukuu njema
 
Nashukuru kwa mwaliko FL1 nipo njiani....mungu akubariki sana...ninanjaa yaani naweza kumla ng'ombe nusu peke yangu
 
nashukuru kwa mwaliko fl1 nipo njiani....mungu akubariki sana...ninanjaa yaani naweza kumla ng'ombe nusu peke yangu

karibu sana ak-47 make sure unakuja bila silaha za maangamizi
safety first
 
Food_Fasting_ramadan-2011-Kuwait.jpg
Karibuni mkekani
 
tupo mammy......kweli Idd imepoa sana....hata mitaani sisikii shamrashamra.....sijui watu wanalia wapi leo....

madame hivi ulinambia hakuna hata mmoja alokwalika hehehe pole sana swirry ...
naona kweli kumepoa sana sijui kulikoni ?
 
Daaah Sigma hizo menu zako mbona hazieleweki zaidi nimeona saladi na maji ya kunywa...hiyo Red meat sijui bado haijapikwa?
 
madame hivi ulinambia hakuna hata mmoja alokwalika hehehe pole sana swirry ...
naona kweli kumepoa sana sijui kulikoni ?

sijui nina mkosi gani......sijawahi kualikwa futari mpaka idd.......itabidi nijialike mwenyewe......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom