Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Nov 30, 2012 #1 ayo mapozi ya kupiga picha hakunaga
gobore JF-Expert Member Aug 17, 2009 715 352 Nov 30, 2012 #2 Hahahaaaa dah umenikumbusha mbali sana ndugu
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,634 4,519 Nov 30, 2012 #3 Alikuwa anatuma kwa mchumba we umeipata wapi..??
Z Zero One Two JF-Expert Member Sep 16, 2007 9,347 3,023 Nov 30, 2012 #4 anataka kabaka panzii, duh! We mbuzi mzee una hatari
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Nov 30, 2012 #5 Hilo pozi!!? afu mbona kama suruali imekuwa ndogo hapo mbele?
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Nov 30, 2012 Thread starter #6 gobore said: Hahahaaaa dah umenikumbusha mbali sana ndugu Click to expand... na wewe ndio mapozi yako nini?
gobore said: Hahahaaaa dah umenikumbusha mbali sana ndugu Click to expand... na wewe ndio mapozi yako nini?
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,902 93,746 Nov 30, 2012 #7 Hizo zilikua zinaitwa "picha za ukumbusho"
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,833 155,780 Nov 30, 2012 #8 Money stunna said: View attachment 73026View attachment 73026 ayo mapozi ya kupiga picha hakunaga Click to expand... huyo ndio mbudhi mdhee bwana athikuambie mtu. Hilo pozi linalindwa na sheria ya kimataifa haki miliki, na linaitwa OGELEA PIGA MBIZI
Money stunna said: View attachment 73026View attachment 73026 ayo mapozi ya kupiga picha hakunaga Click to expand... huyo ndio mbudhi mdhee bwana athikuambie mtu. Hilo pozi linalindwa na sheria ya kimataifa haki miliki, na linaitwa OGELEA PIGA MBIZI