Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Ndugu zangu kuna baadhi ya mambo ambayo viongozi wetu wamekuwa wakiya fanya mazuri na mabaya pia
Lakini nipende kuwambia kumsifia kiongozi anapokosea ni kuua nchi yetu
Si lazima kila kitu tukubaliane nacho
Tundulisu amesikika akisema kuwa jumuiya ya kimataifa isitoe misaada kwa tanzania maana kutoa misaada hiyo ni kuunga mkono utawala wa kukandamiza demokrasia
Hizi kauli nadhani ni kauli ambazo zimetolewa kwa hasira ,kuna njia nyingine ambazo tunaweza kuonesha ni kwa namna gani utawala huu unakamdamiza demokrasia kama ni kweli
Lakini hii hatua ya kushawishi jumiyya ya kimataifa kusitisha misaada kwa nchi yetu ni kupinga kwa wazi hatua kwa ajiri ya maendeleo
Nchi yetu bado tunahuataji misaada kwa ajiri ya kukuza uchumi wetu na kukuza maendeleo kwa ujumla kama ilivyo kwa nchi zingine.Tena si kupewa misaada tu hata kukopa nako pia tunatakiwa tukope
Hata baada ya miaka 56 ya uhuru bado tunawaza kupewa misaada kama ni kitu cha muhimu kuliko kuimarisha demokrasia na utawala.wa sheria na katiba? Sisi ni watu wa namna gani sijui!