Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

Sasa nauliza upya kwa lengo la kujifunza.
Je, huko Uganda utaratibu wa uanzishwaji wa bar upo vipi? Je, bar zinaanzishwa kwenye makazi ya watu kama huku TZ? Je, bar Uganda zinapiga mziki kwa sauti kubwa hadi usiku wa manane kama Tanzania?
Ndiyo maana nasema haya ya tofauti ya taratibu za uanzishwaji wa biashara huko Uganda & Tanzania + makelele ya kwenye baa mbona hayana uhusiano na hoja ya mleta mada...?

Kwanini hili usilianzishie uzi wake separate na kisha tutajadili na maswali hayo kujibiwa na wanaojua ya huko Uganda...?

Hapa tujadiliane iwapo ni sawa - si sawa au inawezekana au haiwezekani kwa biashara ktk miji mbalimbali hapa nchini kwetu kufanyika muda wote yaani 24hrs, 7days a week and 365days a year...

In my opinion, nasema inawezekana iwapo Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama Wa raia na Mali zao vitatenda wajibu wao kikamilifu...
 
Back
Top Bottom