tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,114
Ndugu wana jamvi hebu tutafakari vizuri,
Je kwa ubadhilifu huu kuvunja baraza ni njia sahihi iliyotakiwa kufanywa na mtu aliyechukizwa na wabadhilifu?
. No, binafsi naona kufanya hivi ni kufukia uovu!
kwani haitajulikana nani kaadhibiwa Bali ni kubadilisha watendaji, kama serikali ya ccm ilichukizwa ilitakiwa wafukuzwe watu wote tujue wamefukuzwa kwa makosa haya na kwa kufanya hivyo nikukubaliana na maon ya bunge na wananchi walio weng. Lakn kilicho fanyika ni usanii Kwan hakuna hatua itakayochukliwa dhid Yao na hawatakuwa na aibu Kwan hawajafukuzwa ILA wamebadilishiwa kaz! akina karamag Wako wap?
hapa wamefunika kombe mwanaharam apite!
Sisi wananchi tuwachukulie hatua hata kama wezi wenzao wamewachia aibu!