Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

Pole ndugu yangu! Leo umeonja joto la nguvu ya umma. Usirudie tena siku nyingine utaumia hapa! Shame on you!

Ha Ha Ha Ha.....mashambulizi aliyoyapata yanathibitisha kuwa watanzania tumeumizwa vya kutosha na tumekasirishwa sana na hili.
 
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".
lugha iliyotumika wakati wa Richmond na maazimio mpakaa leo hayajatekelezwa halafu Makinda anataka turudie tena lugha ile ile
 
Acha usengesi wewe nyokozako mtu yeyote akiwa na tuhuma za jinai ana kamatwa na kutiwa kizuizini ili kuepusha asiharibu ushahidi,uchunguzi au kutoroka sasa hawa wezi wenzako hawataki Singasinga akamatwe singasinga yupo juu ya sheria,acha usengesi wewe mbona nyoni alipisha uchunguzi,pinda mhongo maswi AG katibu mkuu kiongozi hawa lazima wagushwe sasa leteni usengesi wewe EU lazima wawanyoshe mbwa nyie
 
Ndugu zangu, sikubaliani na kitendo kilichotokea bungeni usiku cha UKAWA kuzua kelele bungeni badala ya kujadili namna ya kuwahukumu wezi kama walivyoanza mwanzoni. Kwa kweli hii inaonyesha kuwa watu hawajakomaa kisiasa. Kitendo hiki kilianzishwa/kilitokea wakati Mbowe anaongea. Source yake ni Mbowe kwa kuleta ubishi usiokuwa na maana wakati naye ni mtuhumiwa pamoja na Zitto. Nilisikitika sana na kuhuzunika sana kuona UKAWA walivyovunja bunge kwa kelele na kutuabisha sisi wananchi tuliowachagua. Kitendo hiki sio cha kistaarabu hata kidogo. Kwanza huwezi kutoa amri kuwa waziri afukuzwe badala ya kuacha suala hilo kwa mhusika mkuu kutoa kwanza maamuzi.Mimi nilitegemea hayo yangetokea endapo kama Mh.Rais angesema kuwa hawezi kuyashughulikia. Aibu sana kwa taifa na "SHAME ON THEM".

Kama jitu lina akili ndogo na akili hiyo iko kwenye ma.ka.li.o litaona UKAWA hawakutenda haki! Lakini kwa mtu mwenye akili timamu atawapa pongezi hawa jamaa kwa kipigo walichotoa jana! Siku zote tumekuwa tukishuhudia mawaziri wakilazimishwa kujiuzulu iweje leo waseme hawataki kuingilia mhumili mwingine? Zamani hiyo mihimili haikuwapo? Pu.mba.vu mkubwa wewe! BIG UP (THUMB UP) UKAWA!!
 
Jiulize kazi ya Bunge ni nini? Kazi ya Bunge ni kuishauri na kuisimamia serikali kutimiza wajibu wake. Wewe unakuwa na akili fupi. Hakuna mahali popote ambapo wapinzani na wabunge wenye nia njema na taifa ambapo wametoa amri ya kuziamrisha mamlaka zingine kama mamlaka za uteuzi wa mawaziri na makatibu wakuu, bali WANAISHAURI MAMLAKA husika kufanya jambo fulani. Kumbuka huo ni ushauri lakini mamlaka husika hailazimishwi kutekeleza ushauri huo. inaweza kufuata ushauri ama ikaukataa ushauri. Je kwa nini mamburura ya ccm hayataki kuishauri serikali ipasvyo na badala yake yanasimama kama serikali. Kumbuka hili swala ni la kitaifa na wananchi wengi wanaumizwa na matendo maovu ya viongozi. uvumilivu una mwisho.
 
Ha Ha Ha Ha.....mashambulizi aliyoyapata yanathibitisha kuwa watanzania tumeumizwa vya kutosha na tumekasirishwa sana na hili.

Naam! Inauma sana! Tuko macho sana chenge alitaka kuwachomoa watuhumiwa wenzake ili na yeye achomokee pale hatukubali.
 
Kuwa mzalendo acha ushabiki wa vyama. Si UKAWA ni maslahi ya Taifa ndo yanalindwa hapa

hakuna cha kutetea masilahi ya taifa ... ukawa wanatafuta sifa kwa wananchi ili uchaguzi mkuu ujao washike nchi...na wakishaingia yatakuwa yaleyale ...usicheze na wanasiasa wana akili kama mchwa...
 
Kuna mitanzania hajielewi nchi hii ebu toa m.a.v.i uliyoweka, kitendo alichofanya mbowe ni cha kishujaa, sasa ww unakuja na utaahila wako kupinga, ivi nyie huwa mnavuta bangi ya wapi?

We ndo hujielewi tena umevurugwa....kuna ushujaa gan alofanya Mboe?? Kuwajaza wenzie ujinga wapge kelele bungen km machiz ndo ushujaa??shame on u
 
Mtuhumiwa anapewa nafasi ya kujipendekezea hukumu halafu wanaccm wanashangilia na kupiga makofi...hii haiwezekani kokote na ni mara ya kwanza kutokea Tanzania.
 
Makinda kujitetea anasema eti hao watuhumiwa wamekataa kujiuzulu ndiyo tatizo,tofauti na kipindi cha nyuma walikua wanakubali!inaonekana hao mawaziri walitumwa na Kikwete
 
Mimi binafsi nawapongeza sana waliokuwa wanapiga makelele kuonyesha hisia zao,Utaachaje Mijizi ijipangie Maazimio
 
Tatizo mmezoe matusi na hayawezi kusaidia ni lazima tuseme ukweli ulivyo. Mbowe ni mtuhumiwa naye lazima awajibike. Anajifanya kumkubali Zitto wakati walimfukuza kama sio unafiki ni nini?

Hujitambui wewe....
 
hakuna cha kutetea masilahi ya taifa ... ukawa wanatafuta sifa kwa wananchi ili uchaguzi mkuu ujao washike nchi...na wakishaingia yatakuwa yaleyale ...usicheze na wanasiasa wana akili kama mchwa...

Inaweza kuwa ni hivyo, lakini hii haitufanyi kutetea mwizi aende bila kuchukiliwa hatua. Hata CCM haiwezi kuachia mwizi. No uTaifa tu bibie
 
Halafu huo uchunguzi ma bunge ya ccm inaoutaka ni upi zaidi ya wa pccb na cag?yaani serikali ikajichunguze tena
 
Toil.et paper hiii..nya.mbafu. Nafikiri hujui ni watu wangapi wanakufa mahospitalini kwa kukosa dawa. Ungekuwa karibu lazima ningekuchapa makofi kwa hasira tu niliyo nayo.
 
Back
Top Bottom