sikubahati kupata mkopo lakin nataka kuomba tena kupitia HLSSF kama kuna mtu anaijua hii anipe msaad | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sikubahati kupata mkopo lakin nataka kuomba tena kupitia HLSSF kama kuna mtu anaijua hii anipe msaad

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by khalid hakim, Sep 21, 2012.

 1. k

  khalid hakim Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaada jamani kma inawezekana niombe kupitia hii
   
 2. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Pole sana kaka!
   
 3. k

  khalid hakim Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah kaka inauma bt no way out
   
 4. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,442
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  wanajiandikisha kwenye ofisi zao maeneo ya m/mmoja kama cjakosea kuna mtaa huko dar unaitwa lumumba cna hakika kama bado wanaandikisha
   
 5. k

  khalid hakim Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah poa kaka bt naogopa kukurupuka coz hizi ngo hazijipangi
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ila nasikia wanatoa kwa walioajiriwa!!!
   
 7. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ckia kakangu mm ndo nakuambia mana mm mwnyw nko kwny process ya kurudsha fomu ingawa cjapata nafac ya kuongea na m2 ambaye amesha omba pale ila da thng ni kuwa apply 2 ni 20 elfu n pia ucwe na shaka mkopo utapata 2 naamin hvyo olxo ni kwa wote yan ni sawa na heslb hata fomu zao ila utofaut upo ktk kurudsha mkopo huo wkt unafanya kazi ni 10% yako ila heslb ni 8% ndo hcho 2
   
 8. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  IPO wapi ofisi yao funguka utujuze
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  uhuru street.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mimi niliomba hapo hlssf,naona jamaa wako vizur maana walinipgia cmu na wakaniambia wameipokea fomu yangu ya maombi na majibu yatatoka mwezi huu mwishoni.
   
 11. k

  kidulile1 Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da nam wacha nijpange nikaombe coz mambo magumu bila mkopo c unajua tena wengne wazee watata ktk kulipa fees
   
 12. SAMORE TOURE

  SAMORE TOURE Senior Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kweye APPLICATIONS OF LOANS FOR UNDERGRADUATE STUDIES OF 2012/2013 nimesoma na mwisho wa kupokea maombi wameandika 30 october hapo vp?
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nadhani watatoa majina kwa awamu,kulingana na wakati mtu uliotuma maombi yako,kwa yule aliyetuma maombi mapema nadhani atakua tayari ameisha shughulikiwa maombi yake mapema na ndo hao watakaotolewa majina yao mwezi huu mwishon,na kwa wale ambao watakua wamechelewa kuapply wao majina yao yatatoka awamu nyingne.
   
 14. U

  Ulamaa Hemed Senior Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  VP gharama za fom zao na utaratibu wa malipo ya hizo fom
   
 15. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  na wao wanakulipia yote au nao wanamadaraja sielewi bado.
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  aliyenipgia cmu aliniambia,nao wanatoa kimadaraja.
   
 17. mr gentleman

  mr gentleman JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 2,613
  Likes Received: 2,723
  Trophy Points: 280
  kariakoo
   
 18. r

  robert komba Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pia kuna utofauti katika ulipaji kwan wao wanaconsider mabadiliko ya thaman ya shilingi...kwahiyo unaweza lipa zaidi ya ulichopata
   
 19. G

  Ginner JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  jamani mbona tu hii nembo yao tu inaonekana ni wasanii wanatafuta izo elfu 20000 za application........waweze kukaa mjini. kuna mtu anataarifa au uzoefu na hawa jamaa
   
Loading...