Sikuamini macho yangu

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,559
18,881
Nduguzanguni Kuna manzi mmoja nilikuwa nampenda Sana tatizo ni moja ni mgumu Sana kwa story ninazozipata mtaani asilimia kubwa ya wanaume waliomtongaza demu amewakataa lakini pia hata kupata number yake tu ni shida.

Kuna jamaa mmoja anaitwa hamisi ila tulimtunga jina mkongwe jamaa ana mademu wengi Sana mfano sasa hiv ana mademu 7 wapo maeneo tofautofauti na kujumla ametembea na mademu si chini ya 45 na ana miaka 24.

Nikaja kusikia pia jamaa yetu hamisi amekataliwa na huyo dada ambaye me ninayempenda. Hapa ndio nikaona possibility ya kumpata huyo demu ni ngumu Kama hamisi mwenyewe kakataliwa me nitawezaje? Nikajiuliza me mwenyewe.

Kitu kizuri ni kwamba dada yangu ana urafiki na huyo demu so nikajifikiria sijui nimtumie dada yangu kumpata huyo manzi?ila nikasema hapana nisimtumie dada yangu nitapambana mwenyewe.

Siku moja wakati ninaenda dukani nikaonana na huyo demu ameshika unga wa ugali muda si mfupi akajikwaa na kuangusha unga huo wa ugali me nikamfata nikamuuliza huo unga ni kiasi gani akasema kilo mbili na nusu cos nilikuwa Nina hela nikaamua nimnunulie
Na nikampa akataa nikamwambia we pokea tu binadamu ni kusaidiana leo ipo kwako kesho ikawa kwangu hiyo siku ikapita.

Jana nikasema nimtongonze moja Kati ya Jambo silipendi ni kakataliwa ingawa ijawahi kunitokea nikasema potelea mbali leo ni leo ni kamuomba sehemu tukutane na kwel nikamtongoza na siku hiyo hiyo demu akanikubalia yaani sikuaminu kiukweli kwa namna ya mtazamo wangu niliyouweka kwa huyu dada na maneno ya kitaa kuwa huyu demu ni mgumu na magwiji wa kutongoza wameshindwa ila me siku moja nimeweza.

Ndo hivo nduguzanguni nishaopoa chombo Jana.
 
Hongera.

Huenda alikuwa anasubiri wewe ndiye umtongoze. Kila Shetani ana mbuyu wake...

Ila wanawake saa ingine sijui tupojee.. mie kuna kaka kipindi niko mschana nilikiwa nampenda mnoo nikimuona natabasamu tuu kumbe na yeye amenizimikia hatarii looh.

Siku akajitutumua kunitongoza, aiseeh nilimtolea nje na kumkatalia kuwa Nina boyfriend. Alikosea kuwaambia marafiki zangu kuwa ananipenda kumbe hao marafiki nao walikiwa wanampenda huyo mkaka. Marafiki wakawa wananizunguka, Kasie yule mkaka anakupenda ila hata usikubali na vile nilikiwa kasomali nikawasikiliza marafiki....

Kaka wa watu aliumiaaa, baadae alikuja kuniamboa ukweli nikamwambia mwenzio akili za kushikiwa hizi .
 
Ila mzigo ulimpa!!!

Hao ndo wanawake huwa mnajinyima haki we mtu unampenda hafu unajifanya hutaki, ungempa umfaidi aisee

Wakati huo nilikiwa kigori nilikiwa nachagua wa kuoa, jamaa kwao mambo safii ila kuna kitu hakikuwa sawa.
 
Hivi kwanini wasichana wengi huanzisha mahusiano ya kutaka kuolewa? Hivi huwezi kuwa na mtu mkawa mnapiga raha bila kufikiria kama atakuoa?

Kila umri na matakwa na matamanio yake, nikiwa mschana nilitaka sana kuolewa kuna raha yake unavaa shela sura bado angavu bila hata vipodozi. Wakati ule Sikuwa na guts za kuwa na mahusiano na mvulana ya kishkaji tuu sikuweza niliona ni uhuni, labda sababu ya uzamani enzi zile.

Kwa sasa sina mpango wa kuolewa wala sitafuti mume, hivyo mahusiano unayosema nakabiliana nayo vyema kabisa akili imetulia.
 
U
Nduguzanguni Kuna manzi mmoja nilikuwa nampenda Sana tatizo ni moja ni mgumu Sana kwa story ninazozipata mtaani asilimia kubwa ya wanaume waliomtongaza demu amewakataa lakini pia hata kupata number yake tu ni shida.

Kuna jamaa mmoja anaitwa hamisi ila tulimtunga jina mkongwe jamaa ana mademu wengi Sana mfano sasa hiv ana mademu 7 wapo maeneo tofautofauti na kujumla ametembea na mademu si chini ya 45 na ana miaka 24.

Nikaja kusikia pia jamaa yetu hamisi amekataliwa na huyo dada ambaye me ninayempenda. Hapa ndio nikaona possibility ya kumpata huyo demu ni ngumu Kama hamisi mwenyewe kakataliwa me nitawezaje? Nikajiuliza me mwenyewe.

Kitu kizuri ni kwamba dada yangu ana urafiki na huyo demu so nikajifikiria sijui nimtumie dada yangu kumpata huyo manzi?ila nikasema hapana nisimtumie dada yangu nitapambana mwenyewe.

Siku moja wakati ninaenda dukani nikaonana na huyo demu ameshika unga wa ugali muda si mfupi akajikwaa na kuangusha unga huo wa ugali me nikamfata nikamuuliza huo unga ni kiasi gani akasema kilo mbili na nusu cos nilikuwa Nina hela nikaamua nimnunulie
Na nikampa akataa nikamwambia we pokea tu binadamu ni kusaidiana leo ipo kwako kesho ikawa kwangu hiyo siku ikapita.

Jana nikasema nimtongonze moja Kati ya Jambo silipendi ni kakataliwa ingawa ijawahi kunitokea nikasema potelea mbali leo ni leo ni kamuomba sehemu tukutane na kwel nikamtongoza na siku hiyo hiyo demu akanikubalia yaani sikuaminu kiukweli kwa namna ya mtazamo wangu niliyouweka kwa huyu dada na maneno ya kitaa kuwa huyu demu ni mgumu na magwiji wa kutongoza wameshindwa ila me siku moja nimeweza.

Ndo hivo nduguzanguni nishaopoa chombo Jana.
Unasoma fomu one B eeeeeh nshakusoma we janjaro.
 
Back
Top Bottom