Sikuamini ile siku ya kwanza naona ungo

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,519
21,434
Poleni na harakati za kampeni na uchaguzi, niende moja kwa moja kwenye mada.

Nakumbuka wakati nasoma elimu ya sekondari katika shule moja mkoani njombe wilaya ya wanging'ombe shule yetu ilivamiwa na mapepo ambayo yalikua yakiwaangusha watu na kuanza kuropoka mambo mengi yaliyojificha kuhusu shule na ata familia za wale wanaodondoka.

Mfano: yalikua yakisema, tupo 60 ndani ya huyu mtu, na tumetumwa kuhakikisha hasomi na anateseka maisha yake yote

Mengine yalikua yakiropoka kuhusu shule, kwamba ili shule ifaulishe kulikua na kafara zilikua zikitolewa lakini ni muda hazijatolewa hivyo darasa letu tuniandae kufeli wote.

Mara yaseme chini ya mti wa kivuli uliokuepo pale shuleni ndio makao makuu ya kuzimu na mikutano yote ya walozi ilikua ikifanyika hapo.

Sasa picha linaanzia hapa..... kuna jamaa mmoja yeye likifika suala la kudondoka ilikua ni lazima adondoke na anakua mwanaume peke yake na wasichana wanakua wa kutosha.

Kila siku maombi yakianza lazima adondoke na ajabu alikua hakosi church kabisa, ilibidi timu ya maombi wamfuate na kumhoji kiundani ndipo aliporopoka mambo mengi kwamba alikua akilzimishwa kupokea uchawi na mama yake ilhali alikua hahitaji na aliwaomba timu ya maombi waende hadi kwao.

Ishu ilikua nzito hadi mkuu wa shule pamoja na uongozi wa kijiji pamoja na mashahidi kadhaa tulienda na hapo ndipo nilifanikiwa kuona ungo wa kichawi, na vikorombwezo vingine kama hirizi.

Uchawi upoo wandugu, sasa vile vitu vilikua vinawaka moto lakini haviteketei usiku kucha
 
Hivi wale mademu waliokuwa wanaanguka shuleni kilikuwa kinawapata nini..? Maana nachoona ilikuwa Kama wanaturusha tu!. Hapo tutaona vichupi vyao ila hatuelewi lile wenge lilikuwa la nini..!!
 
Hivi wale mademu waliokuwa wanaanguka shuleni kilikuwa kinawapata nini..? Maana nachoona ilikuwa Kama wanaturusha tu!. Hapo tutaona vichupi vyao ila hatuelewi lile wenge lilikuwa la nini..!!
Mihemuko ya miili kwenye barehe
Anatakiwa ampate kijana anyonye chuchu hizo amshike tako na apigwe deshelele
Baada ya hapo anarejea shuleni yuko poa kabisa na masomo yanaendelea
 
Hukusikia baba Levo alivyowazungumzia vibonge huko WCB mpaka imefungiwa na kulazimishwa kuomba radhi kipindi chote cha adhabu?
Wanafiki wame balance adhabu zao tu kwakuwa wiki juzi walianza na mawingu FM
Wameamua kutengeneza hofu isiyokuwa na mashiko
 
Mihemuko ya miili kwenye barehe
Anatakiwa ampate kijana anyonye chuchu hizo amshike tako na apigwe deshelele
Baada ya hapo anarejea shuleni yuko poa kabisa na masomo yanaendelea
😁😁😁

Mkuu Kwa Hiyo Mihemko Inawapata Wote Kwa ghafla?!!!

Mana Kuna Kitu kinaitwa HYSTERIA..lakini kije kuwavaa mkupuo?!!!
Kweli Science Haina Majibu Yote Maana Hata Mungu,Mapepo,Malaika hutoweza kuthibitisha kwa kanuni za kisayansi😁😁

Ok mkuu
 
Poleni na harakati za kampeni na uchaguzi, niende moja kwa moja kwenye mada.

nakumbuka wakati nasoma elimu ya sekondari katika shule moja mkoani njombe wilaya ya wanging'ombe shule yetu ilivamiwa na mapepo ambayo yalikua yakiwaangusha watu na kuanza kuropoka mambo mengi yaliyojificha kuhusu shule na ata familia za wale wanaodondoka.

mfano: yalikua yakisema, tupo 60 ndani ya huyu mtu, na tumetumwa kuhakikisha hasomi na anateseka maisha yake yote

mengine yalikua yakiropoka kuhusu shule, kwamba ili shule ifaulishe kulikua na kafara zilikua zikitolewa lakini ni muda hazijatolewa hivyo darasa letu tuniandae kufeli wote.

mara yaseme chini ya mti wa kivuli uliokuepo pale shuleni ndio makao makuu ya kuzimu na mikutano yote ya walozi ilikua ikifanyika hapo.

sasa picha linaanzia hapa..... kuna jamaa mmoja yeye likifika suala la kudondoka ilikua ni lazima adondoke na anakua mwanaume peke yake na wasichana wanakua wa kutosha.

kila siku maombi yakianza lazima adondoke na ajabu alikua hakosi church kabisa, ilibidi timu ya maombi wamfuate na kumhoji kiundani ndipo aliporopoka mambo mengi kwamba alikua akilzimishwa kupokea uchawi na mama yake ilhali alikua hahitaji na aliwaomba timu ya maombi waende hadi kwao.
ishu ilikua nzito hadi mkuu wa shule pamoja na uongozi wa kijiji pamoja na mashahidi kadhaa tulienda na hapo ndipo nilifanikiwa kuona ungo wa kichawi, na vikorombwezo vingine kama hirizi.

uchawi upoo wandugu, sasa vile vitu vilikua vinawaka moto lakini haviteketei usiku kucha
Mastori ya town
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom