Siku zote wanawake wapo katika harakati za kutafuta mume hivyo huwa hawajali wanatembea na nani..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku zote wanawake wapo katika harakati za kutafuta mume hivyo huwa hawajali wanatembea na nani.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Industry, Sep 7, 2012.

 1. The Industry

  The Industry Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni chance kwenu vijana mnaopenda mambo flani...
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  za siku, bado hujaachiwa??

  Bora utuchangamshe.
   
 3. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  You can tell more about a person
  by what he says about others
  than
  you can by what others say about him.
  (Leo Aikman)
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  ili lina ukweli ...maaana wengi wanasema kuwa wanaume are dogs na wanapenda kuchakachua tuu but yet bado wanatupa K....so would have to agree with u na hii point
   
 5. b

  bizzare Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guy naona uko addicted na k,taangu naingia humu kama guest maneno yako ni 3 tu nimeshindwa kuvumilia inabidi niseme,"k,gari ni kisu cha kuchinjia mwanamke na foreplay"huna akili ingine?
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,048
  Trophy Points: 280
  Hata wakipata mume na kuwa ndani ya ndoa atatembea na hausi boi, dereva wa mzee, mlinzi, shamba boy na texi dereva.
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 13,751
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  hivi leo si ijumaa?wacha nihamie kwa mtambuzi huku naona chenga tu!
   
 8. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Umenena. Yamjazayo mtu ndo yamtokayo....
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,312
  Likes Received: 14,582
  Trophy Points: 280
  Astaghafulilah
   
 10. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  sasa kama post wanazoweka watu humu necessitates kujibu kwa kutumia hayo maneno mie nifanyaje? sina euphemisims ya hayo maneno....kama unayo nipe nitashukuru sana
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,399
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  hivi nani anayetafuta kati ya mwanaume au mwanamke?
   
Loading...