Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.

CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.

Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.

Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*

Haya* Nani muongo*?

1579798987221.jpeg

1579799014073.jpeg
 
Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa Tanganyika.

CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.

Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.

Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*

Haya* Nani muongo*?
Kubadili gia angani sio unafiki? Leo fisadi kuu kesho anafaa kuwa rais, huu sio unafikii?
 
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
 
Wabunge wa CCM kwa sababu ya wingi wao ndio chanzo cha matatizo yanayolikumba hili taifa, wananyamaza hata kwa mambo yaliyowazi kabisa, kisa wanamuogopa mwenyekiti wao asijewanyima nafasi za kugombea ubunge mwezi october, inshort wanasujudia sana matumbo yao kuliko maslahi ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wabunge wa ccm wanaijua vyema sera ya siri ya chama chao kuwa ni wizi,kwa hiyo hawanyamanzi kwa kumuogopa mwenyekiti bali wananyamnza ili kulinda chama chao,maana kwa .mwanaccm wa ukweli ccm kwanza then nchi na maisha yake baadae
 
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!
oooh sasa inakuwaje tunawaonea akina Rugemalira,kabendera and the like?
 
CCM ndio inayoongoza nchi sasa ulitegemea kama kuna huo unaouita uhujumu uchumi ufanywe na chadema? Chadema wanahujumiwa na Mbowe & family!

Magufuli naye bana, bado anatuchezea sinema za black &. White karne huu ya na YouTube? Yeye ndio anasaini viongozi kwenda nje ya nchi, alishindwa kuwauliza wanafuata nini? Ni hatua gani za kisheria amechukua kwa mkataba wa kuhuni hivyo, maana tunaona viongozi wa cdm wanakesi zaidi ya miaka miwili kwa kuandamana tu. Tuone kweli kama atachukua hatua ana anasaka tu kiki za uchaguzi.
 
Umemaliza Mkuu!
 
Kwa hiyo huko cdm kuna wasafi heti eeh?!
Bora shetani umjuaye kuliko malaika usiyemjua
 
Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini.

CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli.

Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo.

Mkamuundia zengwe mkamtimua ofisini,.*ilituuma sana*

Haya* Nani muongo*?

View attachment 1332292
View attachment 1332293
Kansas ya taifa
 
Hivi huyo aliyemtumbua kangi kwenye mambo yake huwa anapata kibali cha Bunge ?
 
Back
Top Bottom