Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

Nope
they do none of the above.

But viongozi tulionao ni reflection ya wananchi walio wengi.
Uongo?

Hao viongozi wanapatikana kwa njia gani? Kama mfumo wa kuwapata hao viongozi ni mbovu, tarajia kupata viongozi wabovu na wala sio reflection ya jamii iliyopo.
 
Hao viongozi wanapatikana kwa njia gani? Kama mfumo wa kuwapata hao viongozi ni mbovu, tarajia kupata viongozi wabovu na wala sio reflection ya jamii iliyopo.
Je wale ambao tunahisi wamepatikana kihalali hususani wale wa upinzani wana tofauti ipi concrete na hawa wa CCM ?
 
Back
Top Bottom