Siku zote mapenzi ya HONEY,DEAR,SWEETIE,BABY,DARLING hayadumu!!!!!

hivi vijimaneno huwa vinatumikatumika wakati penzi likiwa changa - baada ya hapo (hasa mvuto unapokuwa kwishney) huwa vinapotea kwenye vocabulary na kwenda kuibukia nyumba ndogo (of course huku huwa vinatumika zaidi kumkoleza mtu ili kumchuna)
 
Hata mimi huwa sipendi mtu aniite kwa sana,bora unitaje jina langu tu.
Mimi kutoka moyoni,mke wangu nampenda saana lakini hayo maneno hapo juu nimeshindwa kuyatumia kabisa,moyo wangu unakuwa mzito sana kuyatumia hayo maneno,upendo wangu kwa mke wangu ni kwa vitendo na kauli nzuri kwake fullstop!
 
Sasa unataka mtu amwite wife wake kitunguu? dogo hayaendi hivyo, lazima uwe unajifunza kusema sukari kama huwezi kusema sweet.
 
Dah!mbona ndio majina anayotumia kuniita wakati wote?ina maana ndio hatutadumu jaman!kwan haya majina yana wanaopenda kweli ndio hawayatumii!nafarijikaje nikitwa hivyo!!
 
niitwe tu ,yanautamu wake especial nikipata hisia anayamaanisha akiniita hivyo.....na by tha way kwamfano mpenzi wako ni mpenzi wakokweli ,unampenda unamwita my love ,humpendi usimwite ,anakupa utamu unamwita my swty km siyo mtamu huwezi kuwa naye ,anakutreat kwa upendo km mtoto anakupakata km ni mwanamke ,unabebwa ,unakumbatiwa kwahiyo unaitwa baby....mimi niitwe tu hivyo hivyo.:poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom