ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
Aisee jamaa sangu, kwa nini lakinyi mnaona wifu sisi tukienda kuhesabiwa kule mgombanyi wakati tukilabua mbeke na kutafuna ndafu ??? Musiki unaopigwa ni ule wa Skiter Davis na Jim Reeves hakuna twanga pepeta msee. Halafulee tunaacha wake setu mgombanyi tunarudi tena mjinyi kutafuta hella ya sikukuu ingine msee wangu.
Kwani iko mbaya ganyi mara moja kwa mwaka mtu kwenda kusalimia makaburi ya wasee waliolala, wai !!!! Acheni wifu.