Siku za Paul Makonda kama RC wa Dar es salaam zinahesabika

Makonda watingishe tu, wavivu wamejaa wengiiiiii mji huu. Kutwa kulalamika huku wamekaa na kulala na kuibia watu
Hujagundua kuwa kina baba kabwela ndiyo wanaomiliki uchumi mkubwa mijini,ndiyo wanaomiliki uchumi wa kati halafu wanamalizia wafanyakazi wa GTZ
 
Makonda ni mchapakazi
Hata jiji lisipokuwa na RC mbona litaenda tu na hakuna ombwe lolote! JPM kama kweli huwa anasoma maoni ya wananchi amtoe Dar ampeleke Simiyu akapate uzoefu kidogo! Baadae aende Mwanza au Mbeya! Sio Dar! Anahitaji busara sana! Viatu sio vyake!
 
Makonda hafai kuwa kiongozi, anafaa kuwa mwalimu Wa shule ya Msingi, hatumii akili kabisa Bali anapenda kukurupuka na kupenda sifa mbele za watu
 
makonda na bosi wake wote dugu moja akili zao sawa wanafanya kazi kwa mfanano mkuu,ukimsifia bosi wake sifia makonda pia ,ukimponda makonda ponda na bosi wake pia wote sawa kabisa burudaaniiii
 
Itabidi tujue zimuni la kukagua watu wasio na kazi ni lipi???
Anaweza kuwa anazumuni zuri maana hata hotuba yake alisema kipindi kile na kama sijakosea alikuwa anataka kila mtu ajulikana kazi zake kwa ajili ya usalama na si kuwafukuza/kuwakamata wasio na kazi
 
Mimi namshangaa huyu rc! Kila anachosema watu wanakipuuza, hata suala dogo la polisi kuhakikisha wapanda bodaboda wanavaa kofia ngumu wameshindwa kutekeleza bado anatoa tamko jingine kubwa ya hilo! Ndio maana watu wanamshangaa kwa kuongoza kwa matamko
 
Pia mtu unaweza kumpima mtu kwa suala dogo, ila huu ni ubinafsi uliokithiri!! Machinga complex ni sehemu ya biashara iliyokuwa chini ya jiji! Baada ya kuona jiji linaongozwa na mameya wa chama tofauti mwanasiasa mmoja akamua kutoa jengo hilo kwa rc! Sasa hakuna kinachofanyika pale!! Hakuna utaratibu wowote kisa chuki wanaoumia wananchi!! Jamani huu uwe mfano jengo limaliziwe ujenzi na litumike kama lilivyokusudiwa tuache kuchelewesha maendeleo
 
Acha tu watu wenye vichaa waendelee kuwa viongozi wetu ila itapofika wakati wa kung,amua tunatembelea akili za vichaa itatushuritisha kuitafuta katiba yenye kuweka misingi imara ya kumpata kiongozi na yenye kutupilia kuzimu vyeo vya zawadi/fadhila.
 
Any Government official should reflect the policies of the President, what Makonda does and say from day to day will directly be interpreted by the citizens, especially the residents of Dar es salaam, to be the Policies and for that matter the orders of the President.
If I were the president, and am not, I would have fired Makonda as soon as yesterday. Makonda has gone far beyond the threshold of shame and incompetence for the office, and fair to say for any public office. What astonish me is, why the president should like what is going on? He have fired so many already, some for only one mistake, while the adventures of Makonda can't be counted. My question and the question of many Tanzanians today is, Is president Magufuli an upright man or a leader who operate in favoritism and double standards?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom