Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Wakuu nimegundua kuwa mazingira unayoishi ndio yatakufanya uishi kwa umri Fulani.
That's why nchi zilizoendelea watu huishi umri mwingi kuliko nchi maskini.
Mfanyakazi wa mgodini huishi maisha mafupi kuliko mtu aliyefanya Nazi au anayefanya kazi Benji.
Mtu mwenye Tania ya ulevi na uzinzi yuko kwenye hatari(mazingira) ya kifo cha mapema kuliko yule ambaye si mlevi na mzinzi.
Viongozi wa umma wastaafu huishi maisha marefu kwakuwa huishi mazingira bora ukilinganisha na wazee wauza maparachichi wa Ilala.