Below 40
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 785
- 1,525
Na hiyo ndio ibada pekee mengine ni upuuzi tuHakuna Namna Inatakiwa Tuishi Kwa Matendo Mema Tu
Na hiyo ndio ibada pekee mengine ni upuuzi tuHakuna Namna Inatakiwa Tuishi Kwa Matendo Mema Tu
Kweli, kwani ajali zote tunazisababisha sisi wenyewe.its true chief, hatma ya kuishi hapa duniani ipo mikononi mwa mwanadamu mwenyewe, hata kama ukitaka kufa leo utakufa tu na tukuzike....
Naunga mkono hoja.Write your reply...AWALI ya yote ningependa kuku weka ktk makundi matatu
1/wewe Ni mkristo
2/wewe Ni muislamu usiejua uislamu wako
3/wewe huna dini/Na unawasiwas juu ya uwepo wa mungu Na nini kasema
nikizungumzia nukta ya 2
muislamu anaamini
kaumbwa
atakufa
atafufuliwa
hatokufa tena
KWA NINI ATAKUFA
atakufa kwa kuwa umri aliokadiriwa kuwepo duniani utaisha
ima awe mgonjwa atakufa
awe mzima atakufa
awe tajiri atakufa
awe masikin atakufa
Kama mungu wake anavosema
hazidishiwi mja hata sekunde Moja pale ajali yake inapofika
thinking questions for you
mbona wanakufa watoto wachanga wakiwa hospital
mbele ya madokta
Na akapona mtoto amezaliwa polini akawekwa majanini bila uangalizi wowote Na mamake akamkimbia,
wanakufa vijana wenye afya zao wanaozingatia mlo kamili kula kwa baba
wakapona vichaa wanao Kula jaani akienda haja ajisuzi
Ni maswali mengi hayajbiki
KUHUSU KUFA
MWENYEZI MUNGU NDIYE HUFISHA
muwe wengi uwe pekeako
ajali Moja wengine hufa Na wengine hupona
hakuna ujanja wala ujinga ktk hilo
si kila anae jinyonga anakufa
si kila anae kunywa sumu anakufa
HAFIMTU KWA BAHATI MBAYA
WALA BAHATI NZURI
Mike Jackson alikuwa maskini? Mbona alikufa kibuduKifo cha wale wa Morogoro kilisababishwa na mazingira yao plus umaskini.
Kuna tajiri anaweza kwenda kuchota mafuta ili spate elfu 50 kwa kuweka rehani nafsi yake?.
kwa mfano mimi nikiona Petrol karibu yangu inamiminika moja kwa moja najua sasa hicho ni KIFO, nitakimbia kadri niwezavyo nisikae karibu nayo kabisa....sasa unakuta mtu anaichota madumu kwa madumu.... hapo ukifa utamlaumu nani, Muumba wako? rubbishKweli, kwani ajali zote tunazisababisha sisi wenyewe.
Tungekuwa makini kila point ajali isingeua hata Mtanzania mmoja.
Kuna nchi wamefanikiwa kudhibiti au kupunguza vifo vitokanavyo na ajali.
Ulivyoandika ni shida, sijui elimu yakoWakuu nimegundua kuwa mazingira unayoishi ndio yatakufanya uishi kwa umri Fulani.
That's why nchi zilizoendelea watu huishi umri mwingi kuliko nchi maskini.
Mfanyakazi wa mgodini huishi maisha mafupi kuliko mtu aliyefanya Nazi au anayefanya kazi Benji.
Mtu mwenye Tania ya ulevi na uzinzi yuko kwenye hatari(mazingira) ya kifo cha mapema kuliko yule ambaye si mlevi na mzinzi.
Viongozi wa umma wastaafu huishi maisha marefu kwakuwa huishi mazingira bora ukilinganisha na wazee wauza maparachichi wa Ilala.
umaskini si wa pesa tu, hata wa kifikra pia..... jamaa alikuwa na fikra za kimaskini...alitaka kujibadilisha toka uafrika awe kama wazungu...... yakamkuta yaliyomkuta - kansa ya pua ikamwondoa duniani.Mike Jackson alikuwa maskini? Mbona alikufa kibudu
Mungu anasingiziwa mengi sana.
Kwa sababu hayupo, hawezi kujitetea kwamba yeye si sababu ya hayo yote anayosingiziwa.
Wakuu nimegundua kuwa mazingira unayoishi ndio yatakufanya uishi kwa umri Fulani.
That's why nchi zilizoendelea watu huishi umri mwingi kuliko nchi maskini.
Mfanyakazi wa mgodini huishi maisha mafupi kuliko mtu aliyefanya Nazi au anayefanya kazi Benji.
Mtu mwenye Tania ya ulevi na uzinzi yuko kwenye hatari(mazingira) ya kifo cha mapema kuliko yule ambaye si mlevi na mzinzi.
Viongozi wa umma wastaafu huishi maisha marefu kwakuwa huishi mazingira bora ukilinganisha na wazee wauza maparachichi wa Ilala.
Ndugu hujanielewa, concept yangu sio kusema maskini hufa haraka au tajiri hawezi kufa Bali nimesema kuwa kifo kinasababishwa na kazi, shughuli na mazingira ya mtu.Mike Jackson alikuwa maskini? Mbona alikufa kibudu
Siku za kuishi duniani kwa mwanadamu zimewekwa na Mungu, lakini mtu anaweza kufa chini ya siku hizo kutokana na sababu ulizozieleza, yaani mfano kama mtu kapangiwa na Mungu kuishi miaka 100, anaweza kuishi chini ya hapo kutokana na sababu mbalimbali za kimazingira mfano Magonjwa nk.lakini hawezi kuishi zaidi ya hiyo miaka 100.
. Nchi fulani zimedhibiti vifo vya watoto wachanga na wajawazito, wakati nchi nyingine hazijadhibiti.
Ndiyo, Binadamu kapewa na Mungu akili ya kuchagua (utashi), hii ni tofauti na wanyama, mfano Kuna watu wameamua kuwa Mashoga kwa hiyari na utashi wa akili zao, je Mungu anapenda wawe Mashoga??!!, halikadhalika kama mtu aamue kwa utashi wake anywe sumu na afe hapo Mungu anahusika na lipi??, Yeye anahusika tu na muda aliokuwekea hapa duniani USIZIDI kipimo alichokuwekea.Swali: Magonjwa na ajali vina nguvu kuliko Mungu?
Yaani magonjwa yanaweza kuvunja mpango wa Mungu?
Mike Jackson alikuwa maskini? Mbona alikufa kibudu
umaskini si wa pesa tu, hata wa kifikra pia..... jamaa alikuwa na fikra za kimaskini...alitaka kujibadilisha toka uafrika awe kama wazungu...... yakamkuta yaliyomkuta - kansa ya pua ikamwondoa duniani.