Siku za mwanadamu kuishi hazijapangwa na Mungu, bali utakufa kutokana na kazi na mazingira yako.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,601
2,000
Wakuu nimegundua kuwa mazingira unayoishi ndio yatakufanya uishi kwa umri Fulani.
That's why nchi zilizoendelea watu huishi umri mwingi kuliko nchi maskini.
Mfanyakazi wa mgodini huishi maisha mafupi kuliko mtu aliyefanya Nazi au anayefanya kazi Benji.
Mtu mwenye Tania ya ulevi na uzinzi yuko kwenye hatari(mazingira) ya kifo cha mapema kuliko yule ambaye si mlevi na mzinzi.
Viongozi wa umma wastaafu huishi maisha marefu kwakuwa huishi mazingira bora ukilinganisha na wazee wauza maparachichi wa Ilala.
 
Michibo

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
1,710
2,000
Mungu kasema “waheshimu baba yako na mama yako”.... siku zako zitapata kuwa nyingi.
 
abego

Member
Aug 25, 2019
14
45
Write your reply...AWALI ya yote ningependa kuku weka ktk makundi matatu
1/wewe Ni mkristo
2/wewe Ni muislamu usiejua uislamu wako
3/wewe huna dini/Na unawasiwas juu ya uwepo wa mungu Na nini kasema
nikizungumzia nukta ya 2
muislamu anaamini
kaumbwa
atakufa
atafufuliwa
hatokufa tena
KWA NINI ATAKUFA
atakufa kwa kuwa umri aliokadiriwa kuwepo duniani utaisha
ima awe mgonjwa atakufa
awe mzima atakufa
awe tajiri atakufa
awe masikin atakufa
Kama mungu wake anavosema
hazidishiwi mja hata sekunde Moja pale ajali yake inapofika
thinking questions for you
mbona wanakufa watoto wachanga wakiwa hospital
mbele ya madokta
Na akapona mtoto amezaliwa polini akawekwa majanini bila uangalizi wowote Na mamake akamkimbia,
wanakufa vijana wenye afya zao wanaozingatia mlo kamili kula kwa baba
wakapona vichaa wanao Kula jaani akienda haja ajisuzi
Ni maswali mengi hayajbiki
KUHUSU KUFA
MWENYEZI MUNGU NDIYE HUFISHA
muwe wengi uwe pekeako
ajali Moja wengine hufa Na wengine hupona
hakuna ujanja wala ujinga ktk hilo
si kila anae jinyonga anakufa
si kila anae kunywa sumu anakufa
HAFIMTU KWA BAHATI MBAYA
WALA BAHATI NZURI
 
kufa siyo mpaka uumwe,hebu chukulia wale wamorogoro waliumwa?? Msikalili unaweza hata kufa muda huu
Kifo cha wale wa Morogoro kilisababishwa na mazingira yao plus umaskini.
Kuna tajiri anaweza kwenda kuchota mafuta ili spate elfu 50 kwa kuweka rehani nafsi yake?.
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,601
2,000
Sawa kabisa. Na kama mtu haamini fanya hii experiment. Panda juu ya mti mrefuu halafu jiachie huku umetanguliza kichwa. Utakachokiona ndo utajua anaepanga siku za kuishi
Ahahahaha.
Au anayebisha akakae barabara ya mwendokasi huku anakula miwa ataanza kuamini ninachomaanisha.
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,601
2,000
Write your reply...AWALI ya yote ningependa kuku weka ktk makundi matatu
1/wewe Ni mkristo
2/wewe Ni muislamu usiejua uislamu wako
3/wewe huna dini/Na unawasiwas juu ya uwepo wa mungu Na nini kasema
nikizungumzia nukta ya 2
muislamu anaamini
kaumbwa
atakufa
atafufuliwa
hatokufa tena
KWA NINI ATAKUFA
atakufa kwa kuwa umri aliokadiriwa kuwepo duniani utaisha
ima awe mgonjwa atakufa
awe mzima atakufa
awe tajiri atakufa
awe masikin atakufa
Kama mungu wake anavosema
hazidishiwi mja hata sekunde Moja pale ajali yake inapofika
thinking questions for you
mbona wanakufa watoto wachanga wakiwa hospital
mbele ya madokta
Na akapona mtoto amezaliwa polini akawekwa majanini bila uangalizi wowote Na mamake akamkimbia,
wanakufa vijana wenye afya zao wanaozingatia mlo kamili kula kwa baba
wakapona vichaa wanao Kula jaani akienda haja ajisuzi
Ni maswali mengi hayajbiki
KUHUSU KUFA
MWENYEZI MUNGU NDIYE HUFISHA
muwe wengi uwe pekeako
ajali Moja wengine hufa Na wengine hupona
hakuna ujanja wala ujinga ktk hilo
si kila anae jinyonga anakufa
si kila anae kunywa sumu anakufa
HAFIMTU KWA BAHATI MBAYA
WALA BAHATI NZURI
Najua hujasomea kozi za afya ila una ufahamu kiasi kuhusu afya.
Je, mortality death zinafana nchi zote?
Hujawahi kusikia kuwa kuna nchi wameweza kutokomeza vifo vya watoto wachanga au wamama wajawazito?.
Hujawahi kutazama TV na kumsikia waziri Ummy Mwalimu akisema wameweza kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto?.
Kifo kinasababishwa na mazingira na hali yako.
Your work and your place you live will kill you direct or indirect.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
53,275
2,000
Ingekuwa Mungu ndiye anayepanga kifo basi baadhi ya nchi wasingewez kudhibiti vifo vya watoto wachanga na wajawazito.
1.Mungu anayefanya nchi fulani ziweze kudhibiti na nyingine zishindwe ni mbaguzi.
2. Mungu hawezi kuwa mbaguzi.
3. Nchi fulani zimedhibiti vifo vya watoto wachanga na wajawazito, wakati nchi nyingine hazijadhibiti.
4. Hii ni contradiction ambayo haijatatuliwa.
5. Ukikubali kwamba Mungu hayupo, na watu wanajipangia mazingira yao mpaka kuweza au kutoweza kudhibiti idadi ya vifo vya wakinamama na watoto, utatatua contradiction hii.
 
Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,601
2,000
1.Mungu anayefanya nchi fulani ziweze kudhibiti na nyingine zishindwe ni mbaguzi.
2. Mungu hawezi kuwa mbaguzi.
3. Nchi fulani zimedhibiti vifo vya watoto wachanga na wajawazito, wakati nchi nyingine hazijadhibiti.
4. Hii ni contradiction ambayo haijatatuliwa.
5. Ukikubali kwamba Mungu hayupo, na watu wanajipangia mazingira yao mpaka kuweza au kutoweza kudhibiti idadi ya vifo vya wakinamama na watoto, utatatua contradiction hii.
May be watakuja kutolea ufafanuzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom