wala bado mnahaha saivi. ata wazanzibar tutabaki.huku huku dar. zanzibar itabaki kua kwetu na asili yetu. tutachumia bara tukalie kwetu na aila zetu. hadi raha muungano huu usoeleweka kwa wajanja una raha sana. mimi ni mzanzibar na pia ni mtanganyika. nakula kote kote

Mliambiwa mapema muirejeshe tanganyika mkabisha,ona sasa mlivyokuwa watumwa wa fikra hamjijui hata jina la kujiita,basi jiiteni mamburula ndio jina la utaifa linalowafaa.
Of course; kwanini tubadili jina? hata Zanzibar kuna Watanzania wengi zaidi kuliko Wazanzibari...
MUNGU ibariki Tanzania
Of course; kwanini tubadili jina? hata Zanzibar kuna Watanzania wengi zaidi kuliko Wazanzibari...
Mungu wa dini ipi?tanzania haina dini wala uwepo wa mungu.
Mjadala wa nini?Hili nalo linahitaji mjadala wa kitaifa, maana wengine Tanganyika na wengine Tanzania na watakuja wengine na Tanzania Bara.