Siku za kifo cha ccm zinahesabika!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Namshukuru Mungu alie nipa kuzaliwa Tanzania, pia namshukuru Mungu kwa kila roho ya mtanzania popote ulimwenguni, maana hyo ndio mishumaa ya taifa hili nje ya nchi. Nitakuwa nakosa busara kuacha kumshukuru Mungu kwa kutuma J. K Nyerere kuwa mwasisi wa taifa hili, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Amen. Nikiwa nilie na imani kubwa sana siku ya leo napenda kusema siku za kutawala za ccm zimefika ukingoni. Hiki ni kifo cha kweli, nahiki nikifo ambacho kila mtanzania atakishuhudia mchana kabisa na wengi hawatoamini.

Wengi watakuwa ktk majukumu yao ya kila siku na ndipo watapokea msg toka sehem mbal mbal kuambiana juu yakuvunjika ccm, japo weng hata wewe unayesoma makala hii hutoamini leo..

Lakini hapo ndipo utatimia ule usemi wa hayati baba wa Taifa alio sema "UPINZANI WA KWELI UTATOKA NDANI YA CCM". Viongoz weng wa chama watasimamishwa ktk vyombo vya sheria, viongoz weng watataifishiwa mali zao ambazo hawakuzipata kialali.

Itakuwa ni siku ya uzuni kwa wazee wengi ambao kula yao wali ipata kwa kupiga ramli ndani ya chama, itakuwa ni mfadhaiko kwa vijana walijisahau nakufikir ccm ndio mlenz wao.

Hii ni siku kila mtanzania mwenye mapenz mema na taifa hili anaisubiri. Taifa hili sio la wapiga ramli au madogoli ila hili ni taifa watu wanamwamini Mungu wao anaeishi. Sii taji kupata umaarufu kwa haya nimesema ila Mungu alie juu akatukuzwe. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kutoka ccm inawezekana tena sana tu ila mkubwa hawa jamaa wanaogopa kutengenezewa ajali. Nyie jiandikisheni tu na Oktoba kipigeni chini tu!
 
Asante kwa ujumbe huu wa kinabii unaosomeka kama ushairi. Nami nakubali siku ya ukombozi haiko mbali.
 
"I will break up the fountains of the deep and waters shall be found. Waters shall be discovered that will be bottled, that shall become an industrious witty-invention and will bring wealth to the people in the Christian communities. Discoveries, hidden treasures in the darkness will be coming to the light, to the faithful few, and into the hands of the Joseph-anointed. For I am building an Ark in the continent of Africa, and many nations shall come to find the Glory that resides in you."
 
Ni wazi kuwa uhai wa CCM mwaka 2015 na baada ya hapo upo mashakani kutokana na hali tete ya Vita ya Urais. Ni katika hali hii CCM wamejikita katika mradi wa kuzima jitihada za cdm kukua zaidi.
 
Ni wazi kuwa uhai wa CCM mwaka 2015 na baada ya hapo upo mashakani kutokana na hali tete ya Vita ya Urais. Ni katika hali hii CCM wamejikita katika mradi wa kuzima jitihada za cdm kukua zaidi.

Watajaribu lakinj hawataweza kuizima chadema.
 
Back
Top Bottom