Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
- Thread starter
- #41
Unalalamikia watu kuchanga au kulazimishwa kuchangia zaidi ya kile alichonacho?
Kumbe kusoma na kuelewa ni shida hivi!!!!
Unalalamikia watu kuchanga au kulazimishwa kuchangia zaidi ya kile alichonacho?
Ndg sijaona kosa la mheshimiwa sema bado watu huwa hatujifunzi, wote hao kumbuka anachokifanya anauhakika nacho kwani wengi wao n wateule wake, hebu fikiria mkuu wa mkoa anatoa laki tano kweli yuko serious kisa kujitoa n hiari????? Ni heri mara maelfu anachokifanya Magufuli kuliko overspending ya mambo yasiyo na msingi , maendeleo si lele mama ndio maana muda mwingine lazima utumie mbinu ata ambaxo huumiza mfano wake n kama huo,he is correct and correct in collection of money for projects kama hizo, let him atimize ndoto zake kwa taifa ,
Kwanini ma MC harusini huwa bana sana watu kuchangia kama hili suala ni la hiari????? Hivi wangapi siku hizi tunajua ukienda harusini haya mawazo ya kuchangia ni hiari ya mtu hayapo tena? Sembuse jamn na hili kweeeli???
Narudia tena kwangu mm yuko sahihi !!!
Na kwenye maharusi mbona hujawahi andika mkuu ? Maana ma mc naowanawabana watu si kwa nchi hii lakn hujawahi zungumza ndg why Magufuli
Hii ni akili ya kimjadala kweli? Mbona kama umelenga kuuvuruga mjadala? Hoja ni nzuri, kama wewe unaona huna cha kuchangia katika mjadala; ni vema ukanyamaza. Mijadala kama hii huongeza thamani katika mambo yanayofanyika na mwisho tunaweza kuwa na namna nzuri ya kupata mafanikio kuliko hivi anavyofanya rais. Hata mimi sijaipenda namna yake ingawa nia yake ni njema.
Hizo ni ndio sura za udikteta. Yeye anatumia bulungutu LA ikulu, wengine mtajiju.
Nijuavyo mimi suala la kuchangia huwa ni la hiari.
Siku za hivi karibuni Rais Magufuli amekuwa akichangisha watu hela kwenye ziara zake sehemu mbalimbali hapa nchini.
Okay, lengo si baya kwa sababu huwa ni za kusaidia ujenzi wa miradi ya maendeleo. Ila mtindo anaoutumia...hmm! Hapana kwa kweli!
Anakuwa anaanza yeye kuchangia halafu anaanza kuita watu tofauti tofauti waje mbele kuchangia.
Kila anayeenda mbele anatoa ahadi ya mchango wake.
Sasa yeye Magufuli, kwa mfano, mtu akitoa ahadi ya milioni moja, yeye ni kama anakataa halafu anamlazimisha huyo mtu atoe zaidi. Badala ya milioni moja, yeye Rais anamwambia huyo mtoa ahadi atoe milioni mbili.
Hivi sasa kama mtu uwezo wake ndo hiyo milioni moja, kwa nini umlazimishe atoe milioni mbili?
Hapana kwa kweli. Sijapenda kabisa huo mtindo, japo naelewa kuwa lengo lake ni zuri.
Unalalamikia watu kuchanga au kulazimishwa kuchangia zaidi ya kile alichonacho?
Bila huo mtindo makanisa yetu ya kilutheri yasinge simama. Anachokifanya Raisi kwenye kuchangisha ni Sahihi kabisa. Maana mfano mtu Kama RPC anajua watu alio nao nyuma na madili anayoyapiga kwa Siku iyo million, ni ela ya mboga na ya dili moja ambayo alikuwa anapeleka kwa Bimdogo kwenda kutanua kwa iyo kusema vile ajakosea tena angemwambia atoe milioni 5. Maana anajua madili ya watu wote, kama Trafiki anasimama apo Magomeni Usalama na Kona ya kwa shekhe Yahaya anapiga zaidi ya laki 7 kwa siku, kwanini asibananishwe atoe izo pesa. Kuwa na Jina (status) mjini lazima uwajibike na sio kulia hooo majukumu, maana hata Mama Ndege nae ana majukumu. Maana kuambiwa uchangie vile haimaanishi kwamba lazima uwe na Cash mkononi unaandika jina unatoa Ndani angalau ya mwezi huo, kwa sababu mtu Kama RP'C iyo milioni, anakopeshwa kuwa na cheo au jina ni ishu sana, lazima uwajibike Ndio Utu uzima huo.Usishanga ni mtindo uliotoholewa toka makanisa ya Kilutheri.
Mkuu.Anachofanya kimeondoa maana nzima ya NENO HIARI. Maana ukimwambia mtu atoe zaidi ya alichokitamka atatoa kama mtumwa si kwa moyo wa kupenda.Afadhali mpo mlio waelewa!
Yashawahi kunikuta haya kiss kutaka sifa, si unajua tena mambo ya kutoa ahadi hadharani na ikiwa kubwa unapigiwa makofi kwenye michangohahahaha, mtu unaweza kujichanganya ukatamka milioni 5 kumuimpress Rais, then baada ya hapo unaanza kujilaumu kimoyomoyo!
Wewe unauwezo wa kutoa mln 1, alafu kwenye mchango unatoa 50000/ hpo hata mm lazima nkulazimishe tu utoe hyo 1mln...
Ova
Bila huo mtindo makanisa yetu ya kilutheri yasinge simama. Anachokifanya Raisi kwenye kuchangisha ni Sahihi kabisa. Maana mfano mtu Kama RPC anajua watu alio nao nyuma na madili anayoyapiga kwa Siku iyo million, ni ela ya mboga na ya dili moja ambayo alikuwa anapeleka kwa Bimdogo kwenda kutanua kwa iyo kusema vile ajakosea tena angemwambia atoe milioni 5. Maana anajua madili ya watu wote, kama Trafiki anasimama apo Magomeni Usalama na Kona ya kwa shekhe Yahaya anapiga zaidi ya laki 7 kwa siku, kwanini asibananishwe atoe izo pesa. Kuwa na Jina (status) mjini lazima uwajibike na sio kulia hooo majukumu, maana hata Mama Ndege nae ana majukumu. Maana kuambiwa uchangie vile haimaanishi kwamba lazima uwe na Cash mkononi unaandika jina unatoa Ndani angalau ya mwezi huo, kwa sababu mtu Kama RP'C iyo milioni, anakopeshwa kuwa na cheo au jina ni ishu sana, lazima uwajibike Ndio Utu uzima huo.
Mkuu.Anachofanya kimeondoa maana nzima ya NENO HIARI. Maana ukimwambia mtu atoe zaidi ya alichokitamka atatoa kama mtumwa si kwa moyo wa kupenda.
Lengo ni jema, anawajua vema anaowahamasisha. Mfano Rpc kamwambia aongeze kwani akienda kukamata ng'ombe....
Akisimamishwa mikutano 5 kila mkutano utoe ahadi lazma akili ikukae . Yule diwan kaahid lak 2 kidg alie.
Hi sasa naona ni series za HOUSE OF CARDS.Naye katolewa kwenye gari akachangie
manengelo we si umekatazwa kunipa Like na kunishobokea?
Shauri yako....ngoja takataka zione. Usije kunililia 🤣