Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,913
- 13,232
Leo...13/3 ni siku ya kuzaliwa kwangu, siku ambayo katibu mkuu mpya wa CDM anatambulishwa, Mm kama mwanachadema najivunia Na nimeweka historia Na kumbukumbu ya uanachama wangu
Miaka Mia mojabado upo chadema tuu?
Nashukuru kakaHongera sana, hii ni dalili njema sana kwako
kwenye mgao ulipata chochote?Miaka Mia moja
Hongera sana Mkuu,
Nakutakia Heri na fanaka.
Mungu Akubariki na kukupa maisha Marefu.
Sijakusoma mkuu
Anamaanisha Happy Birth DaySijakusoma mkuu
Asante....kwan kuna ubaya nduguAnamaanisha Happy Birth Day
Hongera siku nyingine usihusishe siku yako ya kuzaliwa na masuala ya kisiasa