Siku yako imeisha vipi, kwa furaha,majonzi au mawazo?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,633
559
Wana jamvi hebu toa yako ya moyoni, leo umemaliza vipi siku yako? Upande wamgu nimefunga kwa stress na misonyo. Muda huu natoka job yan nimesimama kituoni zaid ya saa limoja kupata gari nimesimama na kushika bomba.

Toka moroko hadi studio napo nimetumia saa nzima yani ni kero najihisi hasira hasira. Pia nimejikata, basi siku kwangu imeisha vibaya.

Vipi upande wako mkuu
 
Usiku uliopita ulikuwa mbaya sana ...niliona bora nisingefanya mipango ya kumwita... mbaya sana...
 
Mi siku yangu imekuwa nzuri. Hatimaye boss kaachia ushuzi mbele yangu. Bahati nzuri nimeurekodi.
 
Hapa yani ndo siku inaanza,nimeingia mzigoni..all great feeling goooood.....bila shaka itaisha vizuri,unless otherwise
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom