MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 559
Wana jamvi hebu toa yako ya moyoni, leo umemaliza vipi siku yako? Upande wamgu nimefunga kwa stress na misonyo. Muda huu natoka job yan nimesimama kituoni zaid ya saa limoja kupata gari nimesimama na kushika bomba.
Toka moroko hadi studio napo nimetumia saa nzima yani ni kero najihisi hasira hasira. Pia nimejikata, basi siku kwangu imeisha vibaya.
Vipi upande wako mkuu
Toka moroko hadi studio napo nimetumia saa nzima yani ni kero najihisi hasira hasira. Pia nimejikata, basi siku kwangu imeisha vibaya.
Vipi upande wako mkuu