Siku ya walimu Duniani, Je una kumbukumbu gani ya matukio ya kusisimua kwenye safari yako ya Elimu?

MuuzaStudyMaterials

JF-Expert Member
Aug 15, 2018
408
454
Kama wadau wakubwa wa elimu kwenye nyanja ya uzalishaji na uuzaji materials kwa walimu na wanafunzi, tuna kila sababu ya kuenzi siku hii ya walimu kwa namna zote za kipekee.

Mojawapo ni ku share baadhi ya matukio yenye kusisimua kwenye safari ya kusaka elimu.

Karibu sana mwanaJF share nasi.
 
Back
Top Bottom