Siku ya wafanyakazi kenya

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
1. Wafanyakazi wataka nyongeza ya mishahara.
2. Dini zataka utatuzi wa matatizo yanayowakabili wakenya.
3. Vyama vya wafanyakazi vyataka yafuatayo:-
- mabadiliko yafanywe katika utendaji wa jeshi la polisi,
- uwanja wa nyayo usiitwe uwanja wa coca cola,
- mzozo wa migingo utatuliwe,
- kampuni ya taifa ya simu isibakie mikononi mwa wawekezaji wa kigeni,
- posho za wabunge zikatwe kodi,
- sheria mpya za wafanyakazi zitekelezwe kikamilifu.
- tangazo kwamba mume na mke wasiruhusiwe kufanya kazi katika ofisi moja ya serikali libatilishwe.
4. Waziri wa kazi asoma hotuba kwa niaba ya rais:-
- atahadharisha athari mbaya za mparaganyiko wa kiuchumi duniani.
- ataka waajiri wasipunguze wafanyaki badala yake watafute njia nyingine ya kuongeza ufanisi.
- kima cha chini cha mishahara chapandishwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom