Siku ya waalimu, Waalimu wote vaeni T-shirt za njano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya waalimu, Waalimu wote vaeni T-shirt za njano

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mvaa Tai, Oct 6, 2010.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mamia ya waalimu waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani wakiingia kwa maandamano katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea ambapo Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete alikuwa mgeni rasmi na kuwahutubia.

  Source: MICHUZI
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sintaonaajabu kama hao waalimu walivalishwa hizo fulana za njano kwani mambo mengi ya chama cha waalimu yanahujumiwa na serikali kwavile katibu mkuu wa chama hicho ni kada mkongwe wa ccm; kwahiyo yote yale yanayojili kwenye vikao vya chama cha walimu serikali inataarifiwa kila kitu!!
   
Loading...