Siku ya usafi mwisho wa mwezi bado ipo?

tagamwa

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
342
235
Mara baada ya kuingia madarakani Mh Rais wetu John Pombe Magufuli alitangaza kuwa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku rasmi ya kufanya usafi maeneo yanatuzunguka

Je lile zoezi bado linaendelea ? Kama bado mbona sioni shamrashamra zake
 
Ilikuwa ni nguvu ya soda. Eti unafanya usafi halafu vya kuzolea taka hakuna! USANII MTUPU!

Mara baada ya kuingia madarakani Mh Rais wetu John Pombe Magufuli alitangaza kuwa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku rasmi ya kufanya usafi maeneo yanatuzunguka

Je lile zoezi bado linaendelea ? Kama bado mbona sioni shamrashamra zake
 
Bado upo na kama wewe hujafanya usafi leo nitamtuma yule polish wa kike wa kwanza aje kukuarrest au unasemaje?
 
We usinikumbushe kilichompata mdogo wangu huko Lindi Leo kwa kuchelewa kufanya usafi eneo lake la biashara ikiwa Leo ni siku ya usafi, walipita na defends moja kasoro asubuhi yeye kaenda SAA moja na nusu kilichofuata walimuweka ndani katoka SAA kumi na mbili jioni na faini elfu 50000, acha hizo habari kaidi au chelewa kufanya huo usafi uonje cha moto
 
Back
Top Bottom