Mara baada ya kuingia madarakani Mh Rais wetu John Pombe Magufuli alitangaza kuwa kila jumamosi ya mwisho wa mwezi itakuwa ni siku rasmi ya kufanya usafi maeneo yanatuzunguka
Je lile zoezi bado linaendelea ? Kama bado mbona sioni shamrashamra zake

We usinikumbushe kilichompata mdogo wangu huko Lindi Leo kwa kuchelewa kufanya usafi eneo lake la biashara ikiwa Leo ni siku ya usafi, walipita na defends moja kasoro asubuhi yeye kaenda SAA moja na nusu kilichofuata walimuweka ndani katoka SAA kumi na mbili jioni na faini elfu 50000, acha hizo habari kaidi au chelewa kufanya huo usafi uonje cha moto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.