WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Naiogopa sana siku yangu ya mwisho siku nitakapoitwa marehemu, siku ambayo nitatamani kuwaita wazazi wangu wanisaidie lakini hawataweza, siku ambayo nitafunguliwa kitabu changu siku ambayo kila kiungo kitanishitaki kwa MUNGU wangu.Ee MUNGU tusamee zambi zetu tupe muongozo mwema tuweze kukuabudu. Amen