Siku ya Mwalimu Duniani: Wizara ya Elimu yafuta rasmi mafunzo ya Ualimu wa shule ya msingi na awali ngazi ya Cheti Tanzania

Poleni sana waalimu wenye cheti, mmesubiri ajira miaka mingi, bado Tena mnatakikana kurudi tena shule miaka kadhaa, bado Tena mkimaliza msubiri ajira Tena na pengine hakuna hizo ajira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh, hi ni Hatari kwakweli..huo muda waliosubiri ajira ni kazi bure ...Tena warudi kusoma wake waanze kusubiri upya duh..
 
Kuna watu humu hawana jema, siku za nyuma walikua wanapigia kelele mfumo wa elimu na sasa wanaboresha bdo wanapiga kelele sasa sijui hitaji lao ni nn!
 
Wakati mkutano ukiendelea live Rais Magufuli amepiga simu na kusema amefuta huo uamuzi umepangwa na watu wasiowatakia mema na ni wapumbavu,amesema waalimu wenye certificate wataendelea ndo maana wametoa nafasi 13,000 za ajira
 
Amesema mtaala huo mpya utaanza kutumika katika mwaka wa masomo 2020/2012 na kwamba mwalimu yeyote mwenye cheti cha ualimu atakuwa na sifa ya kusomea Diploma ya Ualimu wa Elimu ya Awali au Msingi na vile vile atakapohitimu na kufaulu atakuwa na sifa ya kujiunga na Chuo Kikuu kupata Shahada ya Kwanza ya Ualimu kwa elimu ya awali au msingi.
 
PUUZA TANGAZO LA KUFUTA MTAALA HUO KWA KUWA RAIS MAGUFULI HAWEZI KUKUBALI KITU KAMA HIKI WAKATI HUU
FB_IMG_1601905023482.jpg
 
Akili za kuambiwa matamko yanayotofautiana changanya na zako ukiwa unasubiri 2023 Kama hujachukua chako.
 
Mbona MAGUFULI anaweweseka?
Hii mbona ilishafanyika kitambo?
Hivi Rais hajui Kuna Waalimu walikuwa wanafundisha Sekondari Wana DIGRII ZAO WAMERUDISHWA SHULE ZA MSINGI KWENDA KUFUNDISHA??

Rais mzima na akili zake ANAWADANGANYA WAALIMU??
Waalimu kataeni kutumiwa na CCM kama karatasi za chooni!!!
 
PUUZA TANGAZO LA KUFUTA MTAALA HUO KWA KUWA RAIS MAGUFULI HAWEZI KUKUBALI KITU KAMA HIKI WAKATI HUU

Huu ni Ukweli hauwezi kupuuzwa.
Kuna Waalimu wengi tu wenye Degrees WAMERUDISHWA KUFUNDISHA shule za awaki/msingi!!
Kuna Waalimu wengine wameamua kuachana na kazi hii kwa kudhalilishwa na Serikali ya Magufuli.
Haiwezekani Mwalimu mwenye DIGRII arudi KUFUNDISHA msingi pamoja na Waalimu wenye CERTIFICATE....!!!
 
Mfumo wa elimu haubadilushwi kwa kubadili majina ya tuzo eti kutoka certificate hadi diploma!Huu utakuwa ni upuuzi mkubwa

Mfumo ubadili maudhui,mifumo ya mtihani,na kuboresha mazingira ya kujifunzia.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye elimu ya sasa.
Kuna watu humu hawana jema, siku za nyuma walikua wanapigia kelele mfumo wa elimu na sasa wanaboresha bdo wanapiga kelele sasa sijui hitaji lao ni nn!
 
Wakati mkutano ukiendelea live Rais Magufuli amepiga simu na kusema amefuta huo uamuzi umepangwa na watu wasiowatakia mema na ni wapumbavu,amesema waalimu wenye certificate wataendelea ndo maana wametoa nafasi 13,000 za ajira
Kama kawaida jamaa anatengeneza tatizo kisha analitatua ili aonekane
 
Back
Top Bottom