Siku ya mama dunian;kama si mama ningekuwapi mimi??nakupenda mama,luv u mama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya mama dunian;kama si mama ningekuwapi mimi??nakupenda mama,luv u mama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 9, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  dear mama,
  nakupenda sana sans,ahsante kwa kunilea ahsante kunilipia ada ya shule
  ahasante kwa kuhangaika hadi nikapata ajira,ahsante mama kwa malezi bora,
  mama kama si wewe ningekuwa wapi,.....mama uliuza pete ya ndoa niende
  form 5 na 6, nim wewe uliejua uchungu wa shule na mwana...
  kwa watu wote wanaopenda na kuwathamini mama zao naomba leo siku ya mama
  dunian ,.chukua ata dk 30 kuongea na mama yako mshukuru kwa kukufikisha hapo ulipo
  mshukuru kwa kuacha kutoa mimba usingekuwa hhapo,..ni neema na mpango wa Mungu
  kuwa hapo ulipo.......

  Kwa wale mama zetu waliotutangulia mbele ya haki ;usuache kumwomba mungu amlinde
  huko aliko ,mwambie mama bado tunakupenda tuna kukumbuka upendo wako usheshi wakoni wewe mama ulietufikisha hapa tulipo....

  UNGEIJUA WAPI JF Kama mama angetoa mimba yako??upendo wa mama auhesabiki
  ukiwa kama mtoto uliezaliwa na mama naomba siku ya leo chukua rasmi kuanza kumjali mama yako;wapo wakurugennzi wakuu wa mikoa,makatibu ambao wako mijini wametupa mama zao huko vijijini,na akuna anaewajali.....sahau chukulia n pepo alikupitia..anza kumkumbuka mama yako;tuma mahitaji yake..chukua muda hata kumleata apo ulipo si lazima kila siku anaitaj hela yako upendo wa kweli ndio uhai wake......

  Mlio nje;kumbuken mama zetu ndio chanzo cha sisi kuwa haapa tulipo
  Nawapenda mama wote........
   
 2. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dah!!!!
  Eebwana eee!!! Wakati mama anafanya hivi Baba alikuwa wapi mzee? Vip Maelewano yalikuwepo kweli...... Maana Pete ya ndoa si mchezo Pdidy.

  Anyway! Mama ni zaidi ya maneno ya katika maelezo yote chini ya jua. May GOD bless all the women, Mungu uwasamehe wale waliowahi kutupa watoto ******. Awasamehe pia na wale wababa walio kataa watoto waliotoka katika viuno vyao wenyewe. UAtujalie Kheri na hekima hata sisi ambao tupo katika muendelezo wa kutafuta na sisi tunao kujenga familia ili tuweze kuwa Baba na Mama BORA katika familia hizo. Katika siku hii maalumu, Mungu wazidishie upendo wanawake wote na awape maisha marefu na yenye Baraka tele popote pale walipo....
  Ameeen
   
 3. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  NA SISI AMBAO HATUNA JE?R.I.P mamaaa you are the best
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  baba alimwacha kama miaka 15 wakarudiana akarudi kwenye nyumba ya mama ..akaendeleza fujo
  akakimbia kwa maombi......ila bado anabaki kuwa baba mpendwa....yotee haya ni kwasababu kitu
  fulani cha thamani kiishi dunian kwa uthamani na kuendelea kuwa na thaman yaani

  PDIDY
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  UNAJUA KUNA WAKATI INABIDI JAMBO FULANI FANYIKE ILI THAMANI YA MTU IONEKANE ELSE AWATAMJUA
  WAKATI YUSSUF AKIWA ALIPOOTA NDOTO ALIITA NDUGU AKAWAMBIA MNAJUA NINI ..??NIMEOTA..NINI NIMEOTA
  AKAAKAA AKAWAMBIA NIMEOTA WOTE MPO CHINI YANGU,...KAKAZE WAKAULIZA NA SISI WOTEE..WAKAENDA KUMWAMBIA BABAKE NA SI WAZAZI NDIOO NINYI WAZAZI..BAADA YAHAPO IKABIDI AANZE KUTENGWA NA WAZAZI NDUGU AKAISHIA KUUZWA MWISHO
  AKAJA KUWA

  WAZIRI MKUU Hapo ndipo Mungu anapoutengeneza ufalme wa PDIDY kumpitisha kwenye mapito ili thaman yake ije kuonekana hivi sasa babangu pamoja na kuka tofauti na mama ndio ninamtunza nampa kila anaachotaka with mumyyyyyyyyy..na proud nikiwa hai ipo siku watakuwa back..mpende mamako..mthamiini mama..mtunze mama ..
  MUNGU AKUBARIKI
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  May 10, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heshima hii isiishie kwa mama zenu tu, hata mama za watoto zenu.
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  thanx pdidy be blessed heshima kwa kina mama wote ulimwenguni
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Asante Mama zetu kwa kutupatia Maisha; Mmmetulea

  Asante Mama zetu kwa kutufundisha; Tupo hapa ikiwa ni ushuhuda wa juhudi zenu!

  Asante Mama zetu kwa kutulisha; Mlihakikisha chakula kinakuwepo mezani hata kwa wle amabo tulihoji waliko baba zetu: Mlitufanya tutembee kama wana wa wafalme!

  baraka yenu ikae kwetu nasi tuwarithishe vizazi hata vizazi!

  Hatuna neno zaidi ya Asante!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Na kweli! msisahau na mama wakwe zenu eeh! Let me call my mother in law sasa hivi!
  To my mom: I love you Ma, u just left too soon. For making me the strong woman I am today, THANK YOU! Im proud of you, Ma; always! RIP!
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanx sweet mama i love u mama jana tulisherehekea church it was great
   
Loading...