madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 322
- 386
Siku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
nimecheka sanaSiku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
Hahahhahah Daah Noma Saana !!Siku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.
hamkukaguliwa kama mmeoga kweli?!! maana mnaweza chafua sakafu ya mjumbeSiku ya kwanza kuangalia TV ilikuwa mwaka 1999 pale kijiji kwetu ilikuwa ni hotuba ya Hayati Mwl J.K Nyerere Tulikaguliwa mlangoni kabla ya kuingia tusije ingia na mawe/vyuma.