Siku ya Kwanza Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA Kilichoketi Bahari Beach Hotel (Habari Picha)

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh. Freeman Mbowe (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

3. Meza Kuu ya Kikao cha Kamati Kuu kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Mjumbe mwingine wa Kamati Kuu, Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Marando na lowassa1-2.jpg

Mbowe na Marando-2.jpg

KK-2.jpg

Marando na lowassa1.jpg

Mbowe na Marando.jpg
 
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mh. Freeman Mbowe (kushoto) akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

3. Meza Kuu ya Kikao cha Kamati Kuu kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa (kulia) akisalimiana na Mjumbe mwingine wa Kamati Kuu, Wakili Mabere Marando wakati wa Kikao cha Kamati Kuu, kinachofanyika Bahari Beach Hotel jijini Dar es salaam,leo Jumamosi 22/10/2016.

Wamesema Mbowe hela zetu analipa lini?
 
Chadema fanyieni mikutano kwenye kumbi za kawaida...huko beach mnataka na kuogeleaaa,au kuchabo vimwana vya kitasha vikijiachia?
Jengeni ukumbi Dodoma na ofisi iwe rahisi kufikiwa na wajumbe toka pandezote za nchi. Hoja za wajumbe huathiriwa na mazingira ya kikao pia,kunawatu wakiona paja hoja zote zinapotea...kwakudiklea interesti mimi ni mmoja wao...sjui chalangu wa AR vipi
 
Back
Top Bottom