Siku ya tarehe 1 March 1986....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.
Karibuni wote.
Hongera..........ila kumbuka unavyoongeza siku za kuishi ndivyo za kufa zinavyokaribiaSiku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.
Karibuni wote.
Hakuna starehe kama kukaa uchi,mimi nikiwa home huwa napenda sana kukaa uchi ila kutokana na tabia za kiafrika ina bidi ujisitiri kidogo ili usionekane mwehu!
carthbertL tuko kwenye birthday party hapa....hii imekujaje huku?
CarthbertL This message has been deleted by CarthbertL. Reason: wrong thread
Anatuchanganya huyu mtu.
MAAJABU ya mzee Rajabu!