Siku ya kuzaliwa

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Siku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.

Karibuni wote.:D
 
Siku ya tarehe 1 March 1986....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.

Karibuni wote.:D

heri ya siku ya kuzaliwa kaitaba......hiyo party itakuwa wapi tulete nepi?
 
Happy Birthday - Kaitaba
Nilete kadi ya 'Baby Boy" au "Baby Girl"? nisije nikakosea
 
Siku ya tarehe 1 March 19....... saa 7.25 jumapili mchana, (tarehe kama ya leo,) nilizaliwa.
kutakuwa na tafrija leo jioni saa 12, wote mnaalikwa. waliopewa jukumu la kusambaza kadi waongeze kasi.

Karibuni wote.:D
Hongera..........ila kumbuka unavyoongeza siku za kuishi ndivyo za kufa zinavyokaribia
 
hongera!
Weka jiografia ya eneo kama uko siriaz!
Wengine hatutaniwi bana!
 
Hakuna starehe kama kukaa uchi,mimi nikiwa home huwa napenda sana kukaa uchi ila kutokana na tabia za kiafrika ina bidi ujisitiri kidogo ili usionekane mwehu!

carthbertL tuko kwenye birthday party hapa....hii imekujaje huku?
 
Hongera sana kaitaba
Mungu akujaalie maisha mema na marefu

Please venue itakuwa mitaa gani??
 
Back
Top Bottom