Siku Ya Kutokomeza Ufisadi Tanzania

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
658
196
Mapendekezo, Kwa nini Siku ya Sita ya Mwezi wa Sita kila mwaka isiwe siku ya Kutokomeza Ufisadi na Kupambana na Umaskini & Maisha Magumu kwa Watanzania? Nasema hivyo kwa sababu ni mwezi wa bajeti kila mwaka ambapo maskini wataonya joto ya jiwe kwa kupandishiwa kodi ambazo zitapelekea kupanda kwa baadi ya huduma na mahitaji muhimu ya msingi (basic Needs) na pia baadhi ya watu yaani mafisadi hujitengea chao kwa mwaka unaofuatia. Siku hii iitwe sita sita yaani tarehe 6 June ya kila Mwaka.
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,547
776
thread-fail-stamp.gif
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom