Siku ya kutahiriwa

Mimi nilitahiriwa nikiwa na miaka 28, yaani ganzi ilivyoisha hayo maumivu sasa acha kabisa nilijilaumu sana kwa uamuzi ule wa kutahiriwa. Nakumbuka nilipigwa na maumivu hadi nikapata kizunguzungu ikabidi nikae chini, tena kulikwa na watu wengi tu hapo ndio nilikuwa narudi home toka huko hospital
 
Nakumbuka Mzee alituvalisha nguo MPYA akasema twendeni safari nilikua na bro daah nikakuta tunashuka hospital Mara pap "washike wasikimbie" Mara paa "leteni mikasi " Mara paap "wavalishe kanga

Tukarudi home walemavu Wa mwendo
Aisee brother, siku yangu itaisha poa kabisa. Hii inaweza kuwa comment bora kabisa kuelekea valentine day.
 
Nakumbuka kuna mshikaji wangu alifanyiwa tohara,ile anatoka tu hospital nje ya geti ganzi ikaisha akaitwa toroli akakaaa akatanua miguu akapelekwa nyumbani mtaa mzima walijua amefanya tohara na hapo alikuwa kidato cha nne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimetahiriwa tayri nimekula mizigo kadhaa nikiwa na mkono wa sweta. Shida kubwa niliypata ni ile lishe nzri maana ucku lazima nipige ndoto pevu yaan bao linamwagikia kwenye kidonda ***** mtu mzima kilio kinaanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom