siku ya kushika mimba

S

saladi

Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
31
Points
0
S

saladi

Member
Joined Dec 4, 2012
31 0
jamani nimebleed tarehe 3/12/2012 hadi tare 9/12/2012 ni siku gani naweza kushika mimba.
msaada pliiiiiiiiiiiz maana huwa inasumbua kila nikijaribu hola
 
K

KisakoKivuyo

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Messages
152
Points
170
K

KisakoKivuyo

Senior Member
Joined Mar 28, 2012
152 170
tafuta ushauri wa daktari.
 
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 0
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed ..hizo siku ndizo za kupata mimba.. Kwa wewe kwa mujibu wa tarehe ulinzo weka hapo.. Siku ya kupata mimba ni kuanzia tarehe 13-17 dec...

Kwa hesabu za urahisi unaanza hesabu siku 10 toka tarehe ya kuanza bleed kwa hiyo kunazia siku ya 11 hadi 15 ndizo siku za kushika mimba kwani yai la uzazi linakuwa tayari limeshuka linangoja kurutubishwa na mbegu za kiume
 
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
619
Points
225
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
619 225
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed ..hizo siku ndizo za kupata mimba.. Kwa wewe kwa mujibu wa tarehe ulinzo weka hapo.. Siku ya kupata mimba ni kuanzia tarehe 13-17 dec... Kwa hesabu za urahisi unaanza hesabu siku 10 toka tarehe ya kuanza bleed kwa hiyo kunazia siku ya 11 hadi 15 ndizo siku za kushika mimba kwani yai la uzazi linakuwa tayari limeshuka linangoja kurutubishwa na mbegu za kiume
kaka umeeleza vizuri sana lakini kuna dr alinambia kuwa yai huwa inaenda mpaka siku ya 17 hv! unajua wanawake wengi sana huwa hawajui siku zao za hatari wengi wao wanajua ni kile kipindi cha mp
 
S

saladi

Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
31
Points
0
S

saladi

Member
Joined Dec 4, 2012
31 0
thanks kibe na zema, nitawapa matokeo, coz ndoto ni kupata mtoto,please pray for me guys.
 
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
2,692
Points
1,225
N

Neylu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
2,692 1,225
Kabla ya kukwambia siku ya kupata mimba, kwanza inabidi useme mzunguko wako ni wa siku ngapi..!!
 
waubani

waubani

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
520
Points
225
waubani

waubani

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
520 225
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed ..hizo siku ndizo za kupata mimba.. Kwa wewe kwa mujibu wa tarehe ulinzo weka hapo.. Siku ya kupata mimba ni kuanzia tarehe 13-17 dec...

Kwa hesabu za urahisi unaanza hesabu siku 10 toka tarehe ya kuanza bleed kwa hiyo kunazia siku ya 11 hadi 15 ndizo siku za kushika mimba kwani yai la uzazi linakuwa tayari limeshuka linangoja kurutubishwa na mbegu za kiume
NIMEIKUTA MAHALI HII

Kwa mwanamke mwenye mzunguko wa kawaida wa siku 28. Yai la mwanamke hupevuka (ovulation) siku ya 14 baada ya bleed na likikutana mbegu ya kiume siku hiyo hutunga mimba (nyege huwa kali na uteute kuwa mzito unaovutika).Pia kunauwezekano pia wa kushika mimba siku 3 kabla ya yai kupevuka au siku 3 baada ya yai kupevuka, yaani kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 baada ya bleed. Kwakuwa mbegu za kiume huwa hai ndani ya uke kwa siku 3 tu (masaa 72) kabla ya kufa na Yai lamwanamke hukaa siku 3 tu (72hours) likisubiri mbegu za kiume kutunga mimba kabla ya kufa. Uki sex siku ya 11 mbegu zitakuwa bado active kwenye uke kwa siku 3 na kulikuta yai siku ya 14 ya kupevuka kwake hapo mimba hutungwa.Na iwapo pia ukisex siku ya 17 ambapo ndio siku ya mwisho ya uhai wa yai kusubiri mbegu za kiume hapo mimba hutunga.
Kwa wale wenye siku zinazobadilikabadilika (22, 24, 26, 30) kutokana na stress, vyakula,madawa, maradhi au mshituko ili kutafuta mtoto mnashauriwa kusex siku 7 kabla ya yai kupevuka, siku ya yai kupevuka, hadi siku 7 baada ya kupevuka. ila kwa uhakika wa kutopata mimba ni kusex kuanzia siku ya 17 hadi siku moja kabla ya bleed.
 
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Points
0
K

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 0
kaka umeeleza vizuri sana lakini kuna dr alinambia kuwa yai huwa inaenda mpaka siku ya 17 hv! unajua wanawake wengi sana huwa hawajui siku zao za hatari wengi wao wanajua ni kile kipindi cha mp

siku ya 17 mara nyingi sana hukana mimba ..ingawa sina uhakika sana mana kuna wanawake wengine muda unakuwa mrefu inawezekana ikafika hapo siku ya 17 ingawa ni mara chache sana
 
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
927
Points
250
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
927 250
Nashukuru kwa maelezo mazuri.

Je kwa wanandoa ambao wana kiu ya kupata mtoto wa kiume au kike siku zipi ni muafaka kukutana kwa kina mama ambao vipindi/siku zao hazibadiliki.

Ahsante
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
18,747
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
18,747 2,000
thanks kibe na zema, nitawapa matokeo, coz ndoto ni kupata mtoto,please pray for me guys.
Hata kama huzai uje useme pia. Nakutakia mimba njema
 
don12

don12

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
681
Points
195
don12

don12

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
681 195
kwanza badilisha tittle yako,nilifikiri siku ya kushika mimba kitaifa.ushauri wangu,daktari anaweza kukusaidia ,unaweza kuwa na matatizo mengine zaidi na sio swala lako la timing tu.nenda kwa dr :(gynaecologist
 
josam

josam

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Messages
1,974
Points
1,500
josam

josam

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2011
1,974 1,500
Nashukuru kwa maelezo mazuri.

Je kwa wanandoa ambao wana kiu ya kupata mtoto wa kiume au kike siku zipi ni muafaka kukutana kwa kina mama ambao vipindi/siku zao hazibadiliki.
Ahsante
Mtoto wa kike: Hesabu siku tatu za mwanzo yaani siku ya 11,12 na 13 baada ya PM na
mtoto wa kiume: hesabu siku tatu za mwisho yaani siku ya 14,15 na 16 au 17 baada ya PM

Josam
 
Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
1,622
Points
1,225
Wilbert1974

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
1,622 1,225
Mtoto wa kike: Hesabu siku tatu za mwanzo yaani siku ya 11,12 na 13 baada ya PM na
mtoto wa kiume: hesabu siku tatu za mwisho yaani siku ya 14,15 na 16 au 17 baada ya PM

Josam
Uko sawa; ila inategemea na mume anatoa mbegu gani?!
 
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Messages
6,826
Points
1,500
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2009
6,826 1,500
Na ukifanya siku za bleed hupati mimba lol?
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
86,617
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
86,617 2,000
Just relax bi dada enjoy the moment with your special one na mambo yatajipa lakini ukijipa pressure kiasi hicho basi unaweza kurefusha zoezi la kupata mimba kuliko inavyostahili. Good luck and all the best.

jamani nimebleed tarehe 3/12/2012 hadi tare 9/12/2012 ni siku gani naweza kushika mimba.
msaada pliiiiiiiiiiiz maana huwa inasumbua kila nikijaribu hola
 
Forum statistics

Threads 1,285,255
Members 494,502
Posts 30,855,557
Top