Siku ya kufumaniwa ilikuwaje?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Wajumbe tupeane uzoefu.

Enzi hizo niko sec kabla sijafail fORM 2, ilikuwa namfukuzia shemeji yenu ambaye niko nae hadi leo.

By the time mzee alikuwa anamiliki guest. Bwana bwana bwana, siku hiyo kaka yake katufumania room Na 5 sitasahau ile siku.

Nashukuru nilipata msaada wa haraka mambo yalimalizwa kifamilia.
 
Back
Top Bottom