Siku ya kuendesha baiskeli uchi duniani.

Zekidon

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,903
566
wadau wa sherekhe hiyo, katika maandamano yao, viunga vya jiji la mexico...kazi kwenu wadau
 

Attachments

  • Naked-bike-ride-in-Mexico-016.jpg
    Naked-bike-ride-in-Mexico-016.jpg
    44.9 KB · Views: 1,248
Waafrika huwa tunadharauliwa sana lakini sisi ni watu bora saana duniani na hatuna maadili kama ya hawa wapumbavu majitu yasiyokua na adabu
 
Waafrika huwa tunadharauliwa sana lakini sisi ni watu bora saana duniani na hatuna maadili kama ya hawa wapumbavu majitu yasiyokua na adabu

mkuu mimi huwa napenda kupata authority katika kila statement yangu ninayotoa, hivyo basi with that respect, sijawahi kuona mahala uchunguzi wowote iwe wa kisiasa, kisayansi au kidini uliobainisha ku angozi nyeupe ni BORA kuliko ngozi nyeusi, hli sijawahi ona, kama umewahi ona ndugu yangu bsi tushirikishane..
 
Tunapoelekea usishangae kukawa na kongamano la ngono. Watu wanakusanyika wanafanya ngono peupeeee.
 
mkuu mimi huwa napenda kupata authority katika kila statement yangu ninayotoa, hivyo basi with that respect, sijawahi kuona mahala uchunguzi wowote iwe wa kisiasa, kisayansi au kidini uliobainisha ku angozi nyeupe ni BORA kuliko ngozi nyeusi, hli sijawahi ona, kama umewahi ona ndugu yangu bsi tushirikishane..[/QUOTE

Na vp utafiti wa kinyume cha hapo juu umewahi m
Kuuona? Km hapana basi binadamu wote tu sawa mbele za mwenyezi Mungu...
 
wafuasi wa kiliberali wakifanya matangazo, vipi wale waliberali wa bongo hawajaalikwa?

hahaa, mkuu kuna watu wamekosa ya kufanya, tuwashauri wahamie huku kuna mashamba mengi ya kulima, mboga mboga, matunda na kuvua samaki..
 
Back
Top Bottom