Waafrika huwa tunadharauliwa sana lakini sisi ni watu bora saana duniani na hatuna maadili kama ya hawa wapumbavu majitu yasiyokua na adabu
Usheitwaini mtupu!
Najaribu kufikiria harufu ya viti hivyo vya baiskeli itakuwaje mara tu baada ya zoezi hilo kukamilika....
mkuu mimi huwa napenda kupata authority katika kila statement yangu ninayotoa, hivyo basi with that respect, sijawahi kuona mahala uchunguzi wowote iwe wa kisiasa, kisayansi au kidini uliobainisha ku angozi nyeupe ni BORA kuliko ngozi nyeusi, hli sijawahi ona, kama umewahi ona ndugu yangu bsi tushirikishane..[/QUOTE
Na vp utafiti wa kinyume cha hapo juu umewahi m
Kuuona? Km hapana basi binadamu wote tu sawa mbele za mwenyezi Mungu...
Usheitwaini mtupu!