Siku ya Kiama

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,804
12,552
Najaribu tu ku-imagine ile siku tuko zetu mbinguni kwa Baba tumekaa tumesubiri tu kuandaliwa maziwa na asali na malaika wa Mungu afu ghafla anaingia shetani na nyaunyo mkononi na kusema" Kama uliwahi kushiriki ngono kabla ya ndoa tushuke chini haraka"
 
Mkuu nimesikitika sana mpaka machozi yananilenga

Hakika tutashangilia kwenye mavuno

Ila in heaven there is no beer
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom