Siku ya 7 baada ya CCM kurusha "kete"... Wamefanikiwa asilimia ngapi?

Unajua wanaoshabikia hii filamu hawapandi daladala labda...

Ukipanda daladala siku hizi utajua kibao kishageuka zamaaani!

Mungu mkubwa tena sana aibu itawaangukia tena km ilivyokuwa kwa mwangosi viva chadema!!.
 
CCM wanapanga mipango ya Kishetani CDM wanapanga mipango ya ki-Mungu ya ukombozi zidi ya unyanyasaji, unyanyapaa, kunajisi siasa, wivu, wizi, ubabe dhuruma, majigambo na ukiukwaji wa haki za binadamu kam kumwangosha ,Mtu na Ku-mlimboka hata kumkolimba ikiwezekana.
 
CDM tengenezi VIDEO ya kuwachonganisha CCM na wananchi ili wasiichague tena mwaka 2015, ndio dawa yao!
Chadema huwa hawatengenezi video ila wao hufanya "live" kupitia M4C. Hujaliona hilo? Kuchakachua ni mali ya CCM (wana copywright katika hilo) .Hizi ni siasa za majitaka, cdm hawawezi kuchezea hata kushika majitaka; cdm wanaogopa kupata maambukizo, nao wakageuka mafisadi na wauaji.
 
Nilishangaa ile juzi JK anaenda kuzindua VETA watu mitaani wako busy na mambo yao ..JK wa kupungiwa mikono hayupo tena
 
Propaganda za CCM zimezeeka kama walivyozeeka wao wenyewe
 
walishaambiwa hapa kama ile video imetendenezwa basi wataalam wa IT toka CHADEMA watengene nyingine ya mswahili ili tuione na tuamini maneno yao ila wao wamebakiwa kutukana matusi tuu!
ili muwafungulie mashtaka ya uchochezi. Ukiota moto wa Mjinga utausanyia kuni. Hatuwezi kuingia mtego huo wa kuvunja sheria kama nyie mlivyovunja. CHADEMA ni Chama makini hatukurupuki
 
Propaganda za CCM zimezeeka kama walivyozeeka wao wenyewe
 
Hii mbona tumeshawamwaga la lwakatare hawa vilaza kweli!!!!!!!!!! Ccm watafute jingine bado mwaka mmoja tu turudi ulingoni hakuna chama cha msimu hapa ni kazi kwenda mbele!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na hapo kuweli wamechemsha kwani kesi waliomfungulia kamanda Rwakatare imetupwa hawana lao na policcm nasikia wamemkamata tena kumfungulia eti mashtaka mengine ama kweli wamefuli na polisi mtaendelea kutumika sana kama hendikachifu ha ha ha
 
Mimi nadhani kipindi hiki muhimu ndugu zangu makamanda mkajadili jinsi ya kumpelekea sindano za insulin bwana gaidi huko rumande badala ya kupoteza muda kupaka rangi upepo. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees

kijana wa mtandao @ work
 
ili muwafungulie mashtaka ya uchochezi. Ukiota moto wa Mjinga utausanyia kuni. Hatuwezi kuingia mtego huo wa kuvunja sheria kama nyie mlivyovunja. CHADEMA ni Chama makini hatukurupuki


mimi sio CCM kwa taarifa yako
 
Yaani zile mbwembwe zote, kwamba Lwakatare gaidi , oh.. mara CHADEMA hamchomoki kumbe kutunga tu na kubambika! mahakama inashangaa kosa ni lipi? Lakini Mungu yupo, na kisasi ni cha Mungu
 
kuna wajinga wengi huko ccm ni balaa. na ndio maana wamewaachia akina mwigulu kuihujumu nchi watakavyo.
 
Ni ukweli usipo pingika kuwa propaganda za MACCM kwa sasa ni kutaka kuwahaminisha watu kuwa CHADEMA haifai kwa sababu kwa sasa CHADEMA ndio chaguo la wa Tanzania walio wengi.

Na kwasasa wanachokosea ni kuichafua CHADEMA huku wasionyeshe au kutuambia waTanzania kuwa ni chama gani kingine sahihi, Kwani kwa vyovyote MTanzania yeyote hata aliye shule ya msingi akiwa mwenye Ufahamu na kujitambua hawezi shabikia CCM kamwe.

kwani matatizo yaliyopo ni mengi na ni ya kila siku mfano:-
1.UFISADI( Hili lipo wazi na alifichiki kwa jinsi wanvyo lindana na kutuchezea mchezo wa TOMY and JERRY amabao wanagomba na mwisho wanapatana.)
2. Ulala hoi.( Mfumuko wa Bei)
3. Huduma za Afya, maji, Elimu ( MACCM wamefanya hii ni biashara)


Sasa kazi kwao baada ya kuua CHADEMA je watu waende wapi?
CCM big NO.
CUF Zilipendwa.
NCCR Zilipendwa.
TLP Zilipendwa.


Kwa vyovyote kinaitajika Chama kingine kipya kabisa na chenye watu wapya na fikra mpya ili kuiua CHADEMA na sio watu warudie matapishi yale yale, na kwa hili kw akuwa CCM hawaja litambua watafeli MILELE.

Ushahuri wangu ni kwa MACCM kujipanga upya na kuanzisha chama kingine henye watu wapya na fikra mpya na ni hapo tu watakapo weza kuififisha CHADEMA.

na nionavyo ni lazima chama kipya cha kuja kuififisha CHADEMA kitokane na MACCM wenyewe mfano wapiganaji waliopo CCM wajitoe na kuanzisha chama kipya bila hili soon tutawazika.
 
mimi sio CCM kwa taarifa yako

inawezekana kuwa wewe sio ccm lakini ni miongoni mwa wale wanaoshabikia uonevu, wizi, fitina, mizengwe na mateso wanayofanyiwa wananchi na ccm!...kwa lugha rahisi UNATUMIWA.
 
Back
Top Bottom