Siku wakija kumshtukia kwamba ni fraud, hawataamini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Siku Watanzania wakija kushtuka na kugundua kwamba mgonjwa wao ni fraud na amekuwa akiwadanganya tangia siku ya kwanza ili kupata huruma yao na kwamba alichopitia na anayopitia anayastahili nafikiri itawabadilisha wengi jinsi wanavyoyaangalia maisha.

Mmekuwa duped, huyo jamaa yenu ni fraud na anaishi kwa huruma yenu huku ndani yake akiwacheka na kuwaona wajinga, mnatumiwa bila ya kujijua.

Amkeni.
 
Kuna tusi ninalo hapa moyoni nikiliandika litaniletea life ban. Ila likufikie hata kwa njia ya wireless huko ulipo maana chuki zenu zimezidi kipimo hakuna mnachowaza zaidi ya kumuombea mabaya tu.

Hivi kama si nyinyi kumletea hayo madhila leo hii si angekuwepo hapa hapa nchini akipambana na dikteta uchwara wenu huko kwenye chama chenu.
 
mgonjwa gani..

Subwoofer a.k.a ze microphone au mbunge mstaafu wa ubelgiji.?

au Mzizi mrefu zaidi.!
 
Huyu atakua tundu lisu ndo umemsema hapa,
ww jamaa una mafumbo makali sana
 
Karma is real
Malipo ni hapa hapa
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
Kama alikosea amevuna alichokipanda
Kama hakukosea,aliemkosea atapata malipo yake hapa hapa.





Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom